Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 4 November 2010

DUKA LA MTANDAO!

Habari njema kwa Ndugu zangu Watanzania mnaoishi nje ya Tanzania, Tumefungua Duka la Mtandao(Onlineshop) la kuuza Chai na Kahawa ya Tanzania tuu. linaitwa Chai & kahawa Online Shop(www.chaikahawa.com) na liko Stockholm, Sweden.tunaweza kuuza na kusambaza chai na kahawa kwa mteja yeyote aliyopo nchi yeyote duniani. wote mnakaribishwa Kununua na kujivunia bidhaa zetu.

Kwa Mawasiliano,Maoni,Ununuzi wasiliana nasi kwa kutumia email info@chaikahawa.com au piga simu,tuma ujumbe mfupi(sms) + 46762878341.

NB:website iko kwenye Flash, kama utapata tabu kuifungua download flash adobe

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante, kwani nina imani nitafaidi kweli chai ya nyumbani.

emu-three said...

Safi sana, Watanzania wenzetu mnaonyesha jinsi gani mlivyowajasiriamali, Kwa kupitia kwenu mtaiuza chai ya Africa, kwa kupitia kwenye mnaweza mkaitangaza nchi yenu! Kiswahili chenu....!