Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 4 November 2010

LEO NIMEAMKA NIKIWA NA FURUHA SANA HATA SIJUI INATOKANA NA NINI

Kuna siku unaweza kuamka ukiwa mnyonge au furaha na usijue hali hiyo inasababishwa na nini? Leo nimeamka nikiwa na furaha ya ajabu....Ili kukamilisha furaha yangu nikaona bora nijifotoe kabla sijaanza kufanya shughuli yoyote siku ya leo.Sijui kwa nini kila picha ninayopiga huwa lazima nipindishe shingo!
NAWATAKIA SIKU NJEMA WOTE.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edna nakubalina nawe kwa kweli kuna siku unaamka na mihasira kiasi kwamba nyumba nzima wanaogopa kusema na wewe na kuna siku unaamka na furaha na hata mtoto akiomba kitu unamruhusu tu. Ha ha aha haaaaaaa kweli mdada umependeza mwenyewe. Siku njema nawe pia na uwe na furaha siku nzima.

SIMON KITURURU said...

Umependeza sana Edna! Siku njema kwapo pia my dear!

Adela Dally Kavishe said...

umependeza sana my dia mapozi ya kutosha wangu.

EDNA said...

asanteni wote,YASINTA,SIMON,ADELA.