Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 6 December 2010

ME AND MY MASAI FRIENDS.


Nilipokuwa Zanzibar nilikutana na hawa Wamasai walikuwa wakifanya kazi mahali( hotel )niliyofikia,walikuwa ni wakarimu na wacheshi niliwapenda sana.
Wajameni nimerudi Sweden,mkae mkao wa kula kwa matukio mbali mbali kutoka TANZANIA,ikiwemo shughuli nzima ya harusi yangu...Naziandaa picha za KITCHEN PARTY ili niwarushie... zitafuata za SEND OFF na kumalizia na HARUSI.
KARIBUNI TENA KIBARAZANI HAPA,MAANA PALIDODA KWELIKWELI.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Afadhali umerudi maana kulikuwa upweke kweli kweli. Karibu sana tena hapa., NA ZAIDI HONGERA SANA NA KARIBU KATIKA MAISHA YA NDOA nasubiri kwa hamu kweli hizo picha:-)

Mknono wangu said...

Hongera sana ..shem Edna....nakutakia kila la kheri....katika maisha mapya....

Candy1 said...

Hongera kwa kutuacha ma"single ladies"...(wanaume msianze, it is just an expression). Hongera dada!!! Nasubiri picha hehe

EDNA said...

Yasinta,Candy 1,na Adam asanteni sana.