Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 7 December 2010

CAKE TIME!!!

Tukipeleka vipande vya cake kwa Wazazi..


Nikikata cake


Tusaidiane rafiki yangu kukata cake hahahaa.Nikate nisikate? Akajibu kataaaaaaaaa!

Yam yam ya mafiga matatu,niliaambiwa hayo mafiga matatu yana maana yake, Eti niliambiwa kuwa nije kuzaa watoto watatu lol....
1 comments:

NAJUA WAJUA said...

Kiafrika zaidi, kweli imetulia sana. Hongera