Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 7 December 2010

KITCHEN PARTY!

Hapa nimebebeshwa kikapu naambiwa mwanamke ni lazima kununua mapochopocho.... hahahaa was really fun.
Hapa tunaambiwa tujiandaeni kufungua Champagne.
Hapa naona tulikuwa tunacheza lol....
Mwanga wa Video kamera ulikuwa mkali sana, kiasi kwamba wakati mwingine nilikuwa nashindwa kuona.

2 comments:

Anonymous said...

hongera mpenzi all the best kwenye maisha ya ndoa....ni uamuzi wa busara

EDNA said...

Asante anonymous..