Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday 22 February 2011

MAMA MWENYE NYUMBA!


Mapumziko baada ya kupigwa na baridi...Maana ukiwa nje unatamani upae ili ufike nyumbani haraka....LOL.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mama wa nyumba kwa kweli unastahili hayo mapumziko maana hii baridi ni kali mno nnimeona kesho asubuhi itakuwa (-14). mapumziko mema ndugu yangu:-)

Mija Shija Sayi said...

Jamani poleni sana, yaani bado mnacheza na (-14)? Huku kwetu baridi imepungua sana tunacheza na 7 hadi 12.

Mama mwenye nyumba nimeipenda nyumba yako na wewe mwenyewe umependeza sana.

Haya kila la heri.

Rachel Siwa said...

Mama mwenye nyumba haswaaa umepozi mwenyewe!poleni na baridi jamani!.

Anonymous said...

Nc house looh! naitamani

Simon Kitururu said...

Umependeza mwanakwetu!

Tunasubiria watoto sasa - si unajua zetu za waswahili Kigoli akishaolewa?:-(

EDNA said...

Da Mija: yaani baridi iliyopo hapa ni balaa.
@Yasinta,swahili na waswahili,Da Mija na annon Asanteni sana.

EDNA said...

@Simon hahaaa watoto watakujabana, tena wengine nitakuletea unisaidie kulea...