Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 3 February 2011

YUPO KAZINI USIMSUMBUE!


Huu mtindo wa kuiba mafuta kwa staili hii umeenea sana bongo,huwa wanategea magari yakiwa kwenye foleni ndio waanze kuiba.Jamani hata kama ni utafutaji wa ridhiki kwa staili hii ni hatari sana.Sijui huwa wanajiamini nini....lol.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahhh! jamani kweli kuna wajuzi yaani hapo hata huo uaminifu kaaazi kwelikweli....

Goodman Manyanya Phiri said...

Miaka 129 iliopita aliwahi kuishi duniani jamaa mwenye mawazo mazito sana.

Naye alifanya utafiti wake uliyonyesha huko tunakotoka ndiko wameumbwa hata wezi.

Wewe mwenye bidhaa ukizubaa, basi lazima na mwizi apate riziki yake.


Hio inaitwa "sheria ya msituni" "THE LAW OF THE JUNGLE"

SIMON KITURURU said...

Mmmh!

Swahili na Waswahili said...

Maisha bora au bora maisha!!!maana yeye hapo ndiyo mjanja anawafanyia mbaya wenye mafuta!!!!!!!!nyeeee.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Maisha magumu!