Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 12 March 2011

HONGERA SANA KWA KUGRADUATE TABITHA!


We are all happy for you....


Of course lil bro naye alikuwepo kushuhudia dada yake akila nondo yake...Yeye yupo mlimani mwaka wa tatu akichukua shahada ya uhandishi wa umeme.(ELECTRICAL ENGINEERING)nawapenda sana lets our parents be proud of us.

Akiwa na rafiki yake mpezi Catherine...
Nawatakia kila lililo la heri katika safari yenu mpya ya maisha.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hONGERA SANA KWA KUFIKIA HATUA HIYO NA KILA LA KHERI...

Swahili na Waswahili said...

Hongera sana da Tabitha!!!uwe na wakati mwema na huo si mwisho dada!.

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana Tabby(nimelichakachua jina)

Hongereni pia wazazi kwa kukuza maana huku ndo kukuza haswa.

Goodman Manyanya Phiri said...

Tabitha, unalo jina nzuri. Kazi pia uliefanya ni nzuri.

Kumbuka basi: umefanikisha robo tu ya vita. Bado zaidi ya nusu ni vita ya kutafuta, kupata na kuimudu kazi.


Kotekote hapo, silaha yako kubwa ni kuishi na binadamu wenzio kwa msimamo mkali (UNWAVERING PRINCIPLES) vilevile kwa upendo usiekuwa na upendeleo wowote.


Basi ukiyitumia silaha hiyo, maisha yako yako mikononi mwako, Tabitha.

Hongera sana kutoka Afrika Kusini!

EDNA said...

Yasinta,Rachael,Goodman Manyanya,Mija umelichakachua vizuri kweli jina coz hata sisi huwa tunamuita TABBY....asanteni sana wote nitamfikishia salam zake.

PASSION4FASHION.TZ said...

Nami nalichakachua lako Dina hongera sana kwa bimdogo wetu Tabby,kwakuweza kufikia hatua hiyo yataka moyo hasa ukizingatia elimu ya sasa ni sawa na melikebu baharini inakumbana na misuko suko ya kila aina.

Hongera Tabby kila lakheri mpenzi.x