Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 11 March 2011

Nelly feat Kelly Rowland - Gone.


Miaka kadhaa iliyopita Nelly pamaoja na Kelly Rowland walishirikiana na kutengeneza wimbo wa DILEMMA.Ulivuma sanaa,sasa wamerudi tena na kuimba pamoja song liitwalo GONE.
Ipi imemfunika mwanzake? GONE au DILEMMA?
NAWATAKIA WEEKEND NJEMA.

5 comments:

SIMON KITURURU said...

Gone ni dhaifu ,...
... na ukiusikiliza ni kama tu walijaribu kurudia fomula ileile ya Dilemma ila safari hii kidahifu !:-(


Wikiendi njema Edna!

Yasinta Ngonyani said...

mwisho wa juma uwe mwema nawe pia!!

EDNA said...

Nikweli Simon GONE ni dhaifu ,sidhani kama itawashika watu kama ilivyokuwa DILEMMA.
Da Yasnita:trevlig helg

John Mwaipopo said...

acha mambo ya kukumbusha watu enzi za dilemma. it was an anthem of UDSM when i was completing fooling around that place. wacha maneno ya Nelly kaweka kaplasta keupe shavuni. aash times!! they were singing as if depicting true love. just like two loving doves in a nest. ile kitu acha kabisa. GONE bado!

weekend njema mnyalukolo. ugimbi kiasi (kama u-muonjaji kama mimi na simoni)

EDNA said...

Mwaipopo hahaaa,umenikumbusha. alafu mabrazamen nao wakawa wanaiga eti nao wakawa wanaweka viplasta...mweee