Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday 19 March 2011

SPANKING NEW BONGO FLAVA!


Anaitwa Dully Sykes a.k.a Mr Misifa,Song linaitwa BONGOFLAVA.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

MMMMhhhh kibao murwaaaaaaaaaaaaa kwelikweli yaani ungeona hapa wote hapa nyumbani tumejipanga kwa kucheza mpaka hoi na ukizingatia leo ni jumamosi....

EDNA said...

Hahaaa siwapatii picha,jumamosi njema.

Simon Kitururu said...

kiburudisho MURUA hiki!:-(

Ila sijui kwanini kinanikumbusha ngoma kadhaa za zamani kidogo za KISAUZI na pia yule paka mashuhuri kwenye kinanda chake kwenye KEY nyingine...http://www.youtube.com/watch?v=J---aiyznGQ

EDNA said...

Hahaaa! nimeangalia Simon,kumbe wamemuiga paka...lol