Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday 6 May 2011

KAZI ISIYO YA MAANA NI IPI?

Hivi kazi ni nini?
na je kuna kazi ya maana na kazi isiyo ya maana?
Binafsi tafsiri yangu ya kazi ni shughuli yoyote iliyo halali na inayokupatia kipato cha kukuwezesha kujikimu kimaisha.

Hivi karibuni kiongozi wa chama cha Social Democrat, Karin Wanngård hapa Sweden amesikika akisema kazi ya uuzaji bidhaa(sales) ni kazi ambayo ni takataka(crap job)watu walimjia juu hatua iliyomfanya aombe msamaha kwa dharau yake. soma zaidi hapo chini...

Social Democrat Karin Wanngård, who will take over after Carin Jämtin as the party's top name in Stockholm City Hall, has landed herself in hot water after calling sales a ‘crap profession’

Wanngård was presented as Jämtin's replacement on Monday and in an article with daily Dagens Nyheter (DN) on Tuesday she made the statement that has since had a whole profession up in arms in Sweden.

“Young people should not be forced into ‘crap professions’ like being a salesperson working on commission,” Wanngård told DN.

The reactions were quick to follow.

“I was horrified, especially when this comes from the Social Democrats who are supposed to be a workers’ party. In society there is need for all types of work, and who am I to decide what is a ‘crap job’ and what isn’t,” Ewa Samuelsson of the Christian Democrats in the city council told daily Expressen.

“All jobs have to be carried out, and all of us started somewhere”, she continued.

"I don't know if Karin Wanngård has ever worked in telephone sales. I don't know if she thinks there are more 'crap jobs' on the Swedish labour market or who should do them. But what is clear is that not everyone can be the head of multinational giant Hewlett Packard, as she was," the political writer Peter Wolodarski wrote in DN.

According to news agency TT, in the wake of reactions Wanngård felt that her statement has been taken out of its context and blown out of proportion.

But she still wanted to apologise for offending people.

“Let me be very clear. There are in reality no ‘crap jobs’. There are no unimportant tasks, no crap tasks. However, there are jobs with crap conditions,” she said on news site Newsmill in reply to the debate that has arisen around her statement.

Sales people have a very important role to play in any company and deserve respect for the function they perform, she added in the article.

“Let me finally once and for all apologize to all the sales people for what they interpreted as a derogatory comment about their profession,” she wrote

4 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

“Chali” kabisa kwa Karin Wanngård kwakudai [wauzaji bidhaa peke yao ndio wenye CRAP JOBS] kwani baadhi ya watalaam wengi kama madaktari hata raisi za nchi kabisa waweza mawazoni yao kujifikiri kuwa na hizo CRAP JOBS wakati wakulima wengi hasa nchi maskini za Afrika wanajigamba sana na kazi zao na watalitoa roho tu hilo liKarin likidai nao wanazo CRAP JOBS!

“Chali” hata kwa mdogo wangu, Dada Edna kwakufikiri kazi ni “shughuli..iliyo halali” kwani si lazima iwe halali tukitafsiri kwamba “halali” ni maoni tu ya watu au serikali fulani na hiyo serikali ikipinduliwa na wale wanawoamini kwa mfano ni halali kukata mkono wa mwizi, wote wale wanaokata mikono yawezi isiyo kihalali leo hii mbona watahalalishwa kesho baada ya serikali mpya kuingia!

EDNA said...

Asante sana kaka Manyanya kwa kuchangia...

Rachel Siwa said...

Hakuna kazi isiyo na maana,kama kwake yeye haina maana ina maana kwa mwingine!na yakwake haina maana kwa wengine!maana yakwake hainisaidii na yangu haimsaidii basi kila kazi inamaana yake!

Asante da Edna uwe na wakati mwema!!!!