Mume ‘ala’ kichapo baada ya kumuita mkewe malayaMWANAMKE alinunua ‘line’ ya simu ili ‘amsapraizi’ mumewe.
Siku moja alikuwa na mumewe sebuleni ambapo yeye alienda chooni na kisha akampigia kwa namba hiyo mpya akasema ‘HALLOW DARLING’. Mwanaume baada ya kubaini anayepiga simu hiyo ni mwanamke, alijibu kwa sauti ya chini ‘KATA NTAKUPIGIA...! HUYU MALAYA WANGU YUKO CHOONI’. Mwanamke alitoka chooni na kuanza kumpiga mumewe akidai kwa nini amemuita malaya.
Monday, 6 June 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Aiseeeh! Tumbo linaniuma tayari! Asante lakini, Dada!!!
hhahahaha tena hicho kichapo kitakuwa cha uhakika!!!!!!!
Mbavu zangu hazina hali Edna inabidi uanza kazi kwenye hivi vichekesho:-)
Post a Comment