Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 15 June 2011

MAMBO YA VIBANDIKO KWA WADADA NA WAMAMA.

7 comments:

John Mwaipopo said...

du! ningekuwa mimi chali!! hasa hiyo ya chini kabisa.

mtu mmoja aliniambia wanawake wana nguvu sana vichwani ila hawajui tu. eti kuwa silaha yao katika mapigano na wanaume ingefaa iwe kichwa (ndoo). angalia jinsi kazi zao ngumu (na sasa hata urembo mzito) zinafanyika kichwani. kubeba kuni, kubeba maji na sas kubeba mapambo mazito halafu wametabasamu tu.

EDNA said...

Hahaaa Mwaipopo umenichekesha sana.

SIMON KITURURU said...

Mtoto Mzuri Edna tuwekee basi picha yako wakati umechakachua kama hao pichani basi!

Goodman Manyanya Phiri said...

Kwenu wote akinamama mnaojiremba kama hivyo, afadhali msimle tausi. Ndugu yenu yule!!!

Yasinta Ngonyani said...

Naziuliza kweli ni kwa ajili ya kupendeza au? na utalivaa hilo pambo kwa muda gani...Afadhali na ndoo la maji utalitua au mzigo wa kuni utautua na unajua utatumia . Lakini hayo makofia/mapambo kwa mutu kama mimi sielewi kabisa...labda ndo...unaweza kujaza hapo kwenye deshi ukipenda:-)

Swahili na Waswahili said...

haahhaaha@kaka Mwaipopo na dada Yasinta mmeniacha hoi kwa kicheko!
Urembo kazi,Asante da Edna kwa vibandiko!

chib said...

Mwaipopo! ha ha haa