Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 6 July 2011

WADADA MPOOOO!

Jamani hili vazi mimi limeniogopesha utafikiri nyoka lol....

uwiiiiiiii
mmmmh
Hili sijui ni povu..
hili kama vyuma vile

5 comments:

SIMON KITURURU said...

Mimi nahisi moja ya udhaifu wa wadada ni ule wakutaka kupendeza!

Na katika nia ya kupendeza tukiachilia HATA maswala ya mchina,...
... nahisi kuna ambao lolote lile ufikirialo kama kuna adaiye litafanikisha kupendeza kuna MDADA anawezashawishika kujaribu na hapa wala siongelei NGUO tu!

Ingawa usijeshangaa ukisikia wafanyao makaa pia ili kupendeza!:-(

EDNA said...

@Simon yap, tunapenda kupendeza lakini kuna mitindo mingine mmmmmh.

Goodman Manyanya Phiri said...

Hao wenye utunzi wa vazi la nyoka niwezi wa COPYRIGHT. Waandishi waBiblia watakuja kuwadai mapesa kibao hapo baadaye wakija kufanikiwa katika mtindo huo, kwani Biblia ndio labda ya kwanza kuwuambia ulimwengu kwamba eti Mwanamke na Nyoka ni marafiki wa jadi kutoka enzi hizo za bustani yake Adam naye Hawa!

Ila tu, mke wangu lazima anitaarifu kwanza atarejea nyumbani kwa vazi kama hilo. La sivyo nitazimia bure ninapofungua mlango na kumuona hivyo!

Swahili na Waswahili said...

Kila kitu kisizidi,mmmhhh Urembo ukizidi unakuwa tisha toto sasa!!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

duh! mi na nyoka mbalimbali..lol!