Mimi nahisi moja ya udhaifu wa wadada ni ule wakutaka kupendeza!
Na katika nia ya kupendeza tukiachilia HATA maswala ya mchina,... ... nahisi kuna ambao lolote lile ufikirialo kama kuna adaiye litafanikisha kupendeza kuna MDADA anawezashawishika kujaribu na hapa wala siongelei NGUO tu!
Ingawa usijeshangaa ukisikia wafanyao makaa pia ili kupendeza!:-(
Hao wenye utunzi wa vazi la nyoka niwezi wa COPYRIGHT. Waandishi waBiblia watakuja kuwadai mapesa kibao hapo baadaye wakija kufanikiwa katika mtindo huo, kwani Biblia ndio labda ya kwanza kuwuambia ulimwengu kwamba eti Mwanamke na Nyoka ni marafiki wa jadi kutoka enzi hizo za bustani yake Adam naye Hawa!
Ila tu, mke wangu lazima anitaarifu kwanza atarejea nyumbani kwa vazi kama hilo. La sivyo nitazimia bure ninapofungua mlango na kumuona hivyo!
Tanzania Tanzania
-
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
N...
Malema booted out, EFF walks - Times LIVE
-
Malema booted out, EFF walks - Times LIVE: "
Graphic video shows police open fire on miners - YouTube: 'via Blog this'
(VIDEO IS MERE ADDITION BY BLOG AUTHO...
Katalog Sophie Martin
-
*Katalog Sophie Martin* adalah perusahaan MLM Fashion ternama di Asia. Kami
udah menaikkan pengalaman berbelanja online bagi banyak pelanggan baik di
Indon...
Kikombe Cha Asubuhi; Mathayo 11....
-
* Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje?Tumshukuru Mungu wetu katika
yote...Asante Mungu wetu kwa wema na fadhili zako kwetuAsante kw...
STAY TUNED... BACK sooon...
-
Its been a year now since my last post on this blog.... nimepata comments
nyingi sana watu wakinisema kuhusiana na ukimya wangu tena wengi
wakinichamba h...
Wakati wa sikukuu AJALI nje nje!! Hatujifunzi?
-
*Nikiwa safarini toka Kwa Zulu Natal kukimbia foleni ya magari siku mbili
kabla ya Pasaka!!!*
Wakati huu wa pasaka ilikadiriwa kuwa kuna magari 1500 kw...
Stranger
-
Ever seen a stranger infront of your house?
Haha! I just saw this guy talking to the phone, really loud and just funny
the fact that he is outside and I ...
5 comments:
Mimi nahisi moja ya udhaifu wa wadada ni ule wakutaka kupendeza!
Na katika nia ya kupendeza tukiachilia HATA maswala ya mchina,...
... nahisi kuna ambao lolote lile ufikirialo kama kuna adaiye litafanikisha kupendeza kuna MDADA anawezashawishika kujaribu na hapa wala siongelei NGUO tu!
Ingawa usijeshangaa ukisikia wafanyao makaa pia ili kupendeza!:-(
@Simon yap, tunapenda kupendeza lakini kuna mitindo mingine mmmmmh.
Hao wenye utunzi wa vazi la nyoka niwezi wa COPYRIGHT. Waandishi waBiblia watakuja kuwadai mapesa kibao hapo baadaye wakija kufanikiwa katika mtindo huo, kwani Biblia ndio labda ya kwanza kuwuambia ulimwengu kwamba eti Mwanamke na Nyoka ni marafiki wa jadi kutoka enzi hizo za bustani yake Adam naye Hawa!
Ila tu, mke wangu lazima anitaarifu kwanza atarejea nyumbani kwa vazi kama hilo. La sivyo nitazimia bure ninapofungua mlango na kumuona hivyo!
Kila kitu kisizidi,mmmhhh Urembo ukizidi unakuwa tisha toto sasa!!
duh! mi na nyoka mbalimbali..lol!
Post a Comment