Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 11 November 2011

SOMEWHERE IN DAR ES SALAAM AND ZANZIBAR BACK IN 2010.

 Kwa mujibu wa wanywaji wa beer wanasema KILIMANJARO LAGER ina ladha nzuri kuliko hizo nyingine....
 Dar es salaam
 Zanzibar
Sunset

NAWATAKIA WEEKEND NJEMA WOTE.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Labda mimi si mnywaji wa beer ..labda kaka yetu Kitururu anaweza kutuambia kama akitokea...Week end njema nawe pia..

Swahili na Waswahili said...

Kwikwikwikwikwiw da'Yasintaaaaaa.@ Segito niletee Misasati mtu wangu ukienda kuleeee,Asante iwenjema kwako pia.

EDNA said...

Hahaaa Racheal ucjali nitakufungashia ushindwe wewe tu.@Da Yasinta hilo swali tumuachie KITURURU atujuze.

SIMON KITURURU said...

@Yasinta: Mwenzio ninywayo ni TOGWA tu nabikira ya bia bado mwenzio!:-)


Wikiendi njema kwako pia Edna!