Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 16 December 2011

TAKE ONE YA CLOUDS TV.


Wasikilize Wema na Irene wanavyowazungumzia wasichana wa Bongo Movie.
Video clips kwa hisani ya kajunason blog.

2 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Nimeisikiliza ile CLIP ya kwanza; na nimeyapenda sana mawazo mule pamoja na utaalam wa kwendesha kipindi chake Zamaradi.


Yule mwanamama mwenye "kunyang'anywa" mpenzi wake ataenda mbali sana na maisha... maana yake maisha ni imani tu na haya mengine yenye kung'aa na binadamu wenye kujiweka juu-juu wasiekuwepo kihalali yanageuka pumba tu hapo baadaye.


Msanii marehemu Sipo Gumede alikiita hicho "PEACOCKS TODAY AND FEATHER DUSTERS TOMORROW" (http://www.youtube.com/watch?v=zOSet7n4fow)


Kusema ukweli, binadamu awe mwanamke au mwanaume ni tabia yake kumkandamiza na kumdhulumu mwenzake. Sasa wewe mtoto wa kike toka nyumbani kila asubuhi ukiwa unalielewa waziwazi hilo kwamba binadamu hatabadilika WAKATI NAWE HUTABADILI IMANI YAKO UMEUMBWA KUWA KAMA MWANGA KATIKA GIZA HILO LA UBINAFSI.


Pole sana!

EDNA said...

Nimekupata kaka Manyanya na asante kwa kupita mahali hapa.