Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 20 June 2012

PICHA ZANGU ZA LEO.

 Me my self and i

 Black n white huwa zinavutiaa eeeh!
Kama kuna kitu huwa namiss Bongo ni kusukwa na wamasai,asante wamasai kwa kunipendezesha.Natamani zikae kichwani kwangu milele mweeeh.

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

picha bombi kweli...mimi pia kusukwa na wamasai mwezio nilisukwa mwaka jana mwezi wa saba/nane na nimefumua mwezi wa nne mwaka huu hata hivyo sikutaka kufumua/kuzitoa:-(

EDNA said...

Natamani ningekaa nazo muda mrefu ila huwa zinaniwasha hadi nakosa raha.

Yasinta Ngonyani said...

pole sana maana kusuka hivyo si utani.

Rachel siwa Isaac said...

Umependeza sana Mwanakwetu!!!!Kwetu ni Kuzuri.

EDNA said...

Da Rachel kweli kwetu kuzuri vyakula tunavyokula ni fresh from shamba,sio huku ugenini unakula mivyakula iliyokaa mwezi mzima lol...

emu-three said...

Mhh, dada yangu huyo, nikihesabu hapa sikosi ngombe, mmmmh. Tupo pamoja!

EDNA said...

Hahahaaa Emu Three Haya bwana,asante kwa kupita hapa.

Sara Gau Goloka said...

nazikubali sana hizi rasta,nimeipenda pic ya kwanza