Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 19 June 2012

HUENDA MOJAWAPO YA PICHA ZIFUATAZO KUNA MOJA ITAKUWA IMEKUFANYA UTABASAMU KWA SIKU YA LEO.

 Huyu mrembo urembo wake umepetiliza,khaaa poda gani mpaka kichwani.
 Imagine mama unaingia nyumabani unakutana na hali kama hii,mtoto analia kwa kung`wata na mbu,alafu baba kalala fofo huku akiwa amejifunika net ya mtoto.....
Hii ni kiboko ya wale wapiga chabo..... hahaaaa umemuona teacher alipokaa? lol.....

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimempenda huyo Kadala hapo juu amenikumbusha enzi zileeee unatwanga na mwisho unakuwa hivyo kaaaaaazi kwelikweli!

emu-three said...

Duuh, mimi zote zimenifanya niwaze kisa kipya....