Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 28 January 2010

CARTOON OF THE DAY!!

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ha ha ha ha ha! ningefurahi kama mwanawake wengi wangekuwa na kauli kama hiyo.Nimeipenda cartoon hii.

Anonymous said...

huu ujumbe tumekuwa tukiusikia toka zamani sanaa na kila siku umekuwa ukirudiwa sana,lakini binadamu wagumu kusikia....... sijui tuu....


mdau
Haninge

Simon Kitururu said...

Mwanamke anaroho ngumu kweli huyo kama anajua udhaifu wote huo wa mme wake na bado anamuambia kiupole namna hiyo.

chib said...

Mimi nafikiri angesema pombe na wanawake wa nje, kuliko kusema pombe na wanawake, wakati naye ni mwanamke.
Mawazo tu, si wajua wengine tena....

mumyhery said...

Simon ulitaka kumpa usahuri gani?

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Pengine tungesubiri mwanaume naye atoe dukuduku lake ndiyo tuweze kutoa maoni ya kina linganifu!