Dada Edna Nimefurahi saana kutembelea kibaraza chako. Nimefka hapa wakati nasaka taswira mbalimbali za kutumia kwenye post yangu na nikajikuta naingia hapa. Nimefurahi kwa hakika na nashukuru kuwa unachnaganya habari za nyumbani na ugenini na hilo ni jambo la kujivunia saaana. Basi UBARIKIWE na tuzidi kushirikiana kwa umoja. Nimekuongeza kwenye Blog list, kwenye anwani za ma-blogger na ninakufuatilia katika followers wako hivyo natumai nitaendelea kuwa nawe. Blessings
Tanzania Tanzania
-
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
N...
Malema booted out, EFF walks - Times LIVE
-
Malema booted out, EFF walks - Times LIVE: "
Graphic video shows police open fire on miners - YouTube: 'via Blog this'
(VIDEO IS MERE ADDITION BY BLOG AUTHO...
Katalog Sophie Martin
-
*Katalog Sophie Martin* adalah perusahaan MLM Fashion ternama di Asia. Kami
udah menaikkan pengalaman berbelanja online bagi banyak pelanggan baik di
Indon...
Kikombe Cha Asubuhi; Mathayo 11....
-
* Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje?Tumshukuru Mungu wetu katika
yote...Asante Mungu wetu kwa wema na fadhili zako kwetuAsante kw...
STAY TUNED... BACK sooon...
-
Its been a year now since my last post on this blog.... nimepata comments
nyingi sana watu wakinisema kuhusiana na ukimya wangu tena wengi
wakinichamba h...
Wakati wa sikukuu AJALI nje nje!! Hatujifunzi?
-
*Nikiwa safarini toka Kwa Zulu Natal kukimbia foleni ya magari siku mbili
kabla ya Pasaka!!!*
Wakati huu wa pasaka ilikadiriwa kuwa kuna magari 1500 kw...
Stranger
-
Ever seen a stranger infront of your house?
Haha! I just saw this guy talking to the phone, really loud and just funny
the fact that he is outside and I ...
5 comments:
Dada Edna
Nimefurahi saana kutembelea kibaraza chako. Nimefka hapa wakati nasaka taswira mbalimbali za kutumia kwenye post yangu na nikajikuta naingia hapa.
Nimefurahi kwa hakika na nashukuru kuwa unachnaganya habari za nyumbani na ugenini na hilo ni jambo la kujivunia saaana.
Basi UBARIKIWE na tuzidi kushirikiana kwa umoja.
Nimekuongeza kwenye Blog list, kwenye anwani za ma-blogger na ninakufuatilia katika followers wako hivyo natumai nitaendelea kuwa nawe.
Blessings
Asante sana na Karibu sana kaka,napi pia nakuongeza kwa Blos list yangu,Pamoja daima kaka.
Kama alivosema Musee ya Changamoto, kijiwe kiko bombi ile mbaya :-)
Asante kaka Chacha,karibu sana
Karibu sana dada Edna. Umeanza mwaka vyema!
Post a Comment