Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 1 January 2010

TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WADAU WOTE WA STRIVE FOR LIFE.

5 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Dada Edna
Nimefurahi saana kutembelea kibaraza chako. Nimefka hapa wakati nasaka taswira mbalimbali za kutumia kwenye post yangu na nikajikuta naingia hapa.
Nimefurahi kwa hakika na nashukuru kuwa unachnaganya habari za nyumbani na ugenini na hilo ni jambo la kujivunia saaana.
Basi UBARIKIWE na tuzidi kushirikiana kwa umoja.
Nimekuongeza kwenye Blog list, kwenye anwani za ma-blogger na ninakufuatilia katika followers wako hivyo natumai nitaendelea kuwa nawe.
Blessings

EDNA said...

Asante sana na Karibu sana kaka,napi pia nakuongeza kwa Blos list yangu,Pamoja daima kaka.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Kama alivosema Musee ya Changamoto, kijiwe kiko bombi ile mbaya :-)

EDNA said...

Asante kaka Chacha,karibu sana

Christian Bwaya said...

Karibu sana dada Edna. Umeanza mwaka vyema!