Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 31 March 2010

RED SAN ,YULE PALE!


Hatimaye nimefanikiwa kuweka Video kwenye Blog yangu,baada ya kuhangaika kwa Muda mrefu bila mafanikio.Shukrani za dhati ziende kwa MZEE WA CHANGAMOTO kwa kunipa darasa la nguvu.Asante sana kaka God Bless you.

CARTOON OF THE DAY!

Sunday, 28 March 2010

HACKER!!

This information arrived this morning, Direct from both Microsoft and Norton. Please send it to everybody you know who has access to the Internet..
IF A PERSON NAMED SIMON ASHTON ( SIMON25@HOTMAIL.CO.UK ) CONTACTS YOU
THROUGH EMAIL DON'T OPEN THE MESSAGE. DELETE IT BECAUSE HE IS A HACKER!!

TELL EVERYONE ON YOUR LIST BECAUSE IF SOMEBODY ON YOUR LIST ADDS HIM THEN YOU WILL GET HIM ON YOUR LIST. HE WILL FIGURE OUT YOUR ID, COMPUTER ADDRESS, SO COPY AND PASTE THIS MESSAGE TO EVERYONE EVEN IF YOU DON'T CARE ABOUT THEM AND FAST BECAUSE IF HE HACKS THEIR EMAIL HE HACKS YOUR MAIL TOO!!!!!

Anyone using internet mail such as Yahoo, Hotmail, AOL and so on is at risk. You may receive an apparently harmless e-mail titled, 'Mail Server
Report.'

If you open the file, a message will appear on your screen saying:
'It is too late now, your life is no longer beautiful.'

Subsequently you will LOSE EVERYTHING IN YOUR PC,
and this person will gain access to your name, e-mail and password.

This is a new virus which started to circulate on Saturday 6/3/10 afternoon.
AOL has already confirmed the severity, and the anti virus softwares are not capable of destroying it .

The virus has been created by a hacker who calls himself 'life owner'.

PLEASE SEND A COPY OF THIS E-MAIL TO ALL YOUR FRIENDS, And ask them to PASS IT ON IMMEDIATELY!



"Tenderness and kindness are not signs of weakness and despair,
but manifestations of strength and resolutions."

Louis©

Thanks Adam.

Saturday, 27 March 2010

GREAT WEEKEND TO YOU ALL!

Nawatakia mwisho wa juma ulio mwema, and for those who are turning age this weekend let me wish you a very wonderful birthday...Kwa wale walio wagongwa Mungu awape nguvu ili muweze kuifurahia weekend yenu....Thanks for being part of Stirve For life Family.

Wednesday, 24 March 2010

MUGAMBO NA WAFANYA BIASHARA NDOGONDOGO A.K.A WAMACHINGA!

Huwa inasikitisha unapokuta Mugambo anamnyang`anya mmachinga bidhaa zake pale anapomkuta akifanya biashara mahali palipopigwa marufuku.... Bishara yenyewe ya mifuko na maji maskini wa Mungu. Sawa mugambo anatimiza wajibu wake na Mmachinga anatafuta ridhiki yake, licha ya kuwa nayeye anavunja sheria..lakini je? ni haki kumnyang`anya mali zake? kwani sikuna vyombo vya sheria kwanini asifikishwe huko? sina uhakika kama wakinyang`anywa huwa wanarudishiwa baadaye au ndio imetokelea huko.

Tuesday, 23 March 2010

WHY MEN CHEAT?

Have you cheated? Have you forgiven a straying spouse? Janny McCarthy want to know why men cheat?........ hata mimi pia nataka kujua kwanini wanaume huongopa sana hususani katika mapenzi? Sio kwamba wanawake hawacheat nooo! do not get me wrong.....najua wanaume watanishambulia ila nataka tu kujua kwa wale wanaofahamu sababu au kwanini wanaume wanaongopa sana kwenye mapenzi?

Sunday, 21 March 2010

HAPPY BIRTHDAY TO MIMI!!!

leo ni siku yangu ya kuzaliwa siku ambayo ni muhimu sana kwangu......Nipo ndani ya Kitenge hahaaaa nimesubiri summer weeeeeee mpaka nimechoka nimeamua nivae humuhumu ndani coz siwezi toka nje namna hii. Asante baba na Mama kwa zawadi ya Kitenge na pia asante kwa kunilea mpaka nimefika hapa.

Oooh God i want to live young forever....maana nikifikiria majukumu mmmmmh nachoka kabisa.




Jamani msishangae pozi la picha ni moja, sikuwa na mpiga picha hivyo ilinibidi nijipige mwenyewe, mngeniona nilivyokwa nahangaika mngecheka maana picha zingine zimetoka kichwa tu nyingine mkono na nyingine nywele tuuuuuu.


Thursday, 18 March 2010

KUKOROMA HUSABABISHWA NA NINI?

Hivi kukoroma husababishwa na nini? na nini dawa yake? na je yeye huwa hajitambui kuwa anakoroma? do you know how it feels to live with someone who is snoring? Oooh good Lord......Jamani mimi napata tabu sana na huyu jirani yangu yaani akianza kukoroma hadi aliye chumba cha pili atasikia jinsi anavyokoroma kwa nguvu.Can somebody help me plizzzzzzz kama kuna dawa ya kuzuia.

Monday, 15 March 2010

WATOTO NA UDADISI WA KUTAKA KUJUA MAMBO!

Watoto ni viumbe wadadisi ambao hupenda kujua kila wakionacho, kwa wale wenye watoto au wale wenye ukaribu sana na watoto watakubaliana na mimi....Jana nikiwa kwenye Train naelekea nyumbani nilikutana na habari hii ambayo nimeona niwashilikishe.
Kwenye train kulikuwa na mama na baba pamoja na watoto wao wawili, wakike ana miaka kama mitatu hivi na wakiume mwaka mmoja, ndani ya train kulikuwa kimyaaaa basi yule mtoto mkubwa akavunja ule ukimya kwa kuumuliza mama yake, Mama mimi na Erik tutaoana lini? yaani Erik kaka yake, watu wote waligeuka kumuangalia yule mtoto kila mtu alitabasamu, mama akajibu hamuwezi kuoana kwa sababu Erik ni kaka yako, kale katoto kakanyamaza kwa sekunde kadhaa ghafla kakasema basi nitaoana na baba kwa sababu baba sio kaka yangu, Mama akasema huyo ni baba yako huwezi kuoana naye.
Yule mtoto akamtaja mtu mwingine kwa jina la Johnson sasa sijui huyo Johnson ana umri gani? akasema huyo ndiye atakaye olewanaye, mama akaguna mmmmh kisha mama akamwambia yule mtoto, wewe bado mtoto ukikuwa ndio utaolewa.... mtoto akajibu kwani nitakuwa lini?

Bahati mbaya nikashuka kituo kilichofuata kwa hiyo sijui nini kiliendelea. Kwa ujumla nilijifunza mengi kutoka kwa yule mtoto, ni mengi watoto wanayaona na kuyasikia na wanatamani ufumbuzi wake lakini hawapewi ufumbuzi labda kutokana na Umri wao.....Ungekuwa wewe ndio mama wa huyo mtoto ungejibu nini?

Saturday, 13 March 2010

BLACK AND WHITE TWINS!

Ryan and Leo.

Ryan and Leo with their parents.

Ni mara chache sana watoto mapacha kuzaliwa wakiwa na rangi tofauti za ngozi zao, au pengine haijawahi tokea kabisa. Watoto Ryan na Leo wameushangaza ulimwengu baada ya kuzaliwa na rangi tofauti za ngozi zao.Mama ni Raia wa Ghana na baba ni raia wa German.

Wednesday, 10 March 2010

NIMEPENDA HAYA MAGAUNI WAMEPENDEZA SANA!











Magauni ndio kivazi kilichotawala sana katika Oscar Awards! wamependeza sana kusema ukweli.

Monday, 8 March 2010

HAPPY INTERNATIONAL WOMEN`S DAY 2010!





It is 8 March.. which means that today we celebrate the International Women's Day. I'd like to wish all women all the best, and we invite men to celebrate this day with women in their families.Haijalishi umetoka nchi gani,rangi gani,dini gani,tajiri au masikini,mwembamba,mnene wote ni sawa kwa pamoja tusherehekee siku hii maalum Duniani.

HAPPY WOMEN'S DAY!

Sunday, 7 March 2010

HAPPY BIRTHDAY MY LIL BROTHER!

He is my sweet little brother anaitwa Adam leo ametimiza mwaka Mmoja, ni mtoto wa mama yangu mdogo, nikiwa kama dada mkubwa nakutakia kila lililo heri katika safari yako ya maisha ambayo ndio kwanza unaianza .Mwenyezi Mungu akulinde na akukuze vyema ili uje kuwa mtu mwema....Always love you.

Friday, 5 March 2010

FUNNY SHOES!!

Ni kiatu na pia waweza kusikiliza muziki tena wa nguvu lol.....Dunia ina vituko.
Ukiona si unaweza ogopa ukafikiri ni miguu ya mtu.

Hii ni two in one ukivaa kiatu huitaji kuvaa suruali.


Hii mmmmmh...

Monday, 1 March 2010

70`S FASHION IS BACK!


Nimegundua kuwa kizazi cha sasa hakina jipya when it comes to fashions. ..Fashion zimekuwa zikijirudia rudia zile zile zilizokuwa miaka ya nyuma, hivi ndio kusema ubunifu umetushinda mpaka tukopi zile walizobuni wenzetu? Hii hair style ilikuwa miaka ya 70-80 if not up to 90`s ilikuwa ikiitwa Pank, lakini sasa imerudi na tunaiita Rihana Style.....Mmmmmmh Rihana kazaliwa kaikuta.