Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday 2 April 2011

ADAM LUSEKELO IS NO MORE.


Ni huzuni na majonzi kwa kwa wanablog na watanzania wote kwa ujumula kwa kumpoteza mwenzetu.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ADAM LUSEKELO MAHALA PEMA PEPONI.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Pumzika kwa amani Adam!

emu-three said...

Mungu amlaze mahala pema peponi jemedari wetu, alikuwa mpiganaji mzuri, lakini ndio hivyo, kila kiumbe kitaonja umauti!Kilichabakia ni kimuombea heri

Goodman Manyanya Phiri said...

Asante sana kwa kututaarifu. Tunawaombea familia yake, ndugu wote na jamaa, pia Watanzania wote MPATE FARAJA YA KUKUMBUKA MUNGU NDIYE MWENYEMIPANGO YOTE YETU BINADAMU MOJA MOJA TUKIWA BADO HAI HATA TUKIFA.

Katika Blog ya mwenzetu yenye jina la "SAUTI YA BARAGUMU" (John Mwaipopo) tulichambua kidogo mchango wa kalamu yake (http://mwaipopo.blogspot.com/2011/03/dowans-wants-to-negotiate-huwa-napenda.html).


Nasikitika kwamba wasiwasi na mashaka yetu sasa yataongezeka zaidi kwamba "je maandishi ya Adam Lusekelo yataingia lini (tena kivipi) katika vitabu?


Hiyo basi itakuwa changamoto kwa waandishi wengine, labda waanzishe "The Lusekelo Foundation" kwa kusaidiana na familia yake kusudi hazina yaAfrika kutokana na michango yake isutupotelee.

Kwa upande wangu nitarudia (PARAPHRASE) mchango wangu siku hiyo ya mjadala katika kibaraza cha "SAUTI YA BARAGUMU":

Rest in peace, African Brother
Son of Mother Earth Lusekelo Adam
Often the literary enigma
Frequently the mystery for motive
Yet the phenomenon without question
Galactic were the proportions!


How one crater
Complete with nuclear fission
Had its fathering meteor
come flying over Mount Kilimanjaro
Burrowing in and out
The Gorge ancient Oldvai
A human skull only to inhabit
Many and me still baffles.


You are dead today but tell you I
That fire of love shall never die
Thou started it so ride on it!
Your chariot of fire to heaven!