Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 26 November 2012

R.I.P SHARO MILIONEA.

HABARI  za kusikitisha na kuaminika zilizo tufikia hivi punde na kuthibithishwa na Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe  ni kwamba msanii mahiri wa uchekeshaji na mwanamuziki wa Bongo Fleva Sharo Millionea amefariki katika ajali ya gari kijiji cha Maguzoni Songa, Muheza mkoani Tanga ambapo pia ni nyumbani kwao. Tutaendelea kuwajulisha kadiri tutakavyopata habari zaidi.


Sunday, 25 November 2012

DAR NI JIJI LA KUTAFUTA

Kijana akiwa kazini kutembeza biashara yake ya viuongo vya chakula nje ya soko la Kariakoo, Vijana hawa wanahitaji kujengewa uwezo wa kufahamu sheria na kanuni za kufanya biashra na pia kupata eneo jingine ili kutoa fursa ya kukuza biashara zao.

PICHA NA MAELEZO NIMETUMIWA NA ADAM MZEE.

Saturday, 10 November 2012

President Obama Discusses Growing the Economy and Reducing the Deficit


President Obama makes a statement about the action we need to take to keep America's economy growing, while at the same time reducing our deficits. November 9, 2012.

Thursday, 8 November 2012

MWANABLOG MAKALIERY ANAWAKARIBISHA KWENYE BLOG YAKE.NI BLOG NZURI KWA KWELI INA MAMBO TOFAUTI TOFAUTIYA KUJIFUNZA.

  http://www.makaliery-t.blogspot.com

Diet ya asali na Limau diet inasaidia kupunguza tatizo la uzito mkubwa/unene . Obesity ni hali ya mwili unapokuwa unamafuta mengi kupindukia na mafuta hujitokeza katika tishu za mwili, kwenye moyo, figo, ini na viungo kama vile nyonga, magoti na vifundoni na hivyo, watu wenye uzito mkubwa pia  ni rahisi kukabiliwa na magonjwa kadhaa kama kisukari, shinikizo la damu, arthritis, ini na nyongo ya kibofu cha mkojo kupata matatizo.

Asali ni njia nzuri ya asili ambayo unaweza kutumia kwa ajili ya Obesity na kupunguza kwa viwango vya cholesterol mwilini. 

Kufunga/Fasting kwa asali na lemon-juisi, chakula alkali, ina manufaa katika matibabu ya Obesity bila kupata hamu ya kula.

Kwa ajili ya tiba hii ya asili, changanya kijiko kimoja cha asali mbichi (unheated) na vijiko viwili vya maji ya limau au ndimu katika glasi ya joto au maji vuguvugu (si kuchemsha maji!).

Kunywa mchanganyiko huu wa asali na limau/ndimu kila unapoamka asubuhi tumbo likiwa tupu. Pia unatakiwa kunywa mchanganyiko huu mara baada ya mlo kubwa na vyakula vya mafuta, hii inarahisisha kwenye digestion .

Ukiendelea na tiba asili ya kupunguza uzito unatakiwa kuzingatia kanuni kama vile kutengeneza tabia katika milo unayokula pia kujenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara.
 
 http://www.makaliery-t.blogspot.com

Kenyan mother names twins Barack Obama and Mitt Romney.



A young Kenyan mother has named her newly born twin boys after the U.S. president-elect and his defeated Republican challenger.

Millicent Owuor, 20, gave birth to Barack Obama and Mitt Romney on Wednesday at the Siaya District Hospital in southwest Kenya.
Owuor told the Kenyan news outlet her sons' names will always remind her of the election in the United States.

The hospital is near the village of Kogelo, where where President Barack Obama's father was born and where his 90-year-old step-grandmother, Sarah Obama resides.

Monday, 5 November 2012

SPANKING NEW VIDEO IN TOWN.



MATONYA,ZILIPENDWA.
Hii staili ya kucheza inafaa sana hasa kwa kipindi hiki cha baridi kwa sisi tunaoishi kwenye nchi za baridi.Ukicheza mwanzo mwisho wa wimbo lazima jasho likutoke.

MY LITTLE BROTHER GRADUATION.

 I`m so super duper proud of you my  dear lil brother.So tarehe 3 november 2012 Christopher alihitimu elimu yake ya uhandisi wa umeme au ELECTRICAL ENGINEERING pale chuo kikuu cha Dar es salaam.
 Hongera sana miaka MINNE sio mchezo...pembeni yake ni mdogo wake anayemfuata.
 He is officially engineer hahaaa i couldnt`nt be more happy for you CHRISTOPHER.
 Wanajeshi wangu hao, ukinichokoza tu hawa ndio watakao kushughulikia hahaaa.
 Furaha immezidi mpaka anasinzia.

Priceless smile.

Saturday, 3 November 2012

WEEKEND NJEMA WAUNGWANA.

Njaa inauma kupika naona uvivu, nimeona nipooze njaa na juice.

Thursday, 1 November 2012

Richest Countries of Europe By GDP (PPP)


Luxemburg: Luxembourg is the richest country in Europe. It possesses the highest GDP of 68,900 Euro per capita when measured on purchasing power parity. GDP nominal per capita of Luxembourg is 82,700 Euro. Luxembourg is the world’s second largest investment fund center (After the USA), the most important private banking center in the Euro-zone and European’s leading center for reinsurance companies.
 Netherlands 32,900 Euro: Netherlands GDP (purchasing power parity) of Netherlands is 32,900 Euro and it is the second largest country of GDP (PPP). The country has the 16th largest economy in the world, and ranks 10th in GDP (nominal) per capita. The country continues to be one of the leading European Nations for attracting foreign direct investment and has one of the five largest investors in the U.S.
 Austria 32,200 Euro: Austria is one of the richest countries in the world, with an estimated GDP (PPP) per capita of 32,200 Euro while nominal GDP per capita is 35,700 Euro. Austria has a well-developed social market economy, and high standard of living. Austria is the third richest country in Europe and has a 


 Ireland 31,900 Euro: Ireland is the fourth richest country of Europe having 31,900 Euro GDP (PPP). According to the Index of Economic Freedom created by Wall Street Journal and Heritage Foundation, Ireland is currently ranked as the world’s third most economically free economy

 Sweden 31,700 Euro: Sweden is fifth richest country of Europe having 31,700 Euro GDP (Purchasing power parity) while GDP (nominal) per capita is 41,000 Euro. Sweden is ranked as having the best creativity in Europe for business and is predicted to become a talent magnet for the world’s most purposeful workers. Sweden is also an export-oriented mixed economy, excellent internal and external communication network, and a skilled labor force.

 Denmark 31,400 Euro: Denmark is the sixth richest country in Europe with GDP (PPP) of 31,400 Euro and it ranked 16th in the world in terms of GDP (PPP) per capita. Denmark has the most flexible labor market in Europe and has a labor force of about 2.9 million. Denmark has the fourth highest ratio of tertiary degree holders in the world.


 Germany 30,300 Euro: Germany is the seventh richest country by GDP (PPP) in Europe with per capita income of 30,300 Euro and GDP nominal is 35,700 Euro. The country is most popular member of EU giving resident to 81.8 million foreigners. It has 16 states covering an area of 137,847 square miles. Berlin is the capital city as well the largest city of the Deutschland.

 Belgium 29,800 Euro: Belgium is the eighth richest country in Europe with GDP (PPP) of 29,800 Euro and GDP nominal per capita is 33,700 Euro. Belgium is the founder of European Union and houses its headquarters. For its best position on world’s map in terms industrials areas, Belgium made its place in top 20 largest trading nations of world.

 Finland 28,900 Euro: Finland is ninth richest nation of Europe having 28,900 Euro GDP compared to purchasing power parity while GDP (nominal) per capita of Finland is 35,200 Euro. Finland has a highly industrialized free-market economy with a per capita output equal to that of other European economies such as France, Germany and the UK.

 UK 27,300 Euro: UK is the short form of United Kingdom while other names are Britain and Great Britain. The largest city of the country is London, which is also capital of UK. It is tenth richest nation of Europe having 27,300 Euro GDP. The country has its own rights with four separate state governments. UK has world’s seventh largest economy by nominal GDP.

MASWALI KWA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI NOVEMBER 2012

Saa tatu kamili mpaka na nusu leo asubuhi Bungeni Dodoma 104.4 kulikua na kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri mkuu Mizengo Pinda ambapo pamoja na maswali aliyojibu ni kuhusu vigogo wa nchi kuwa na mamilioni ya pesa nje ya Tanzania, vurugu za kidini na mengine, msikilize hapo chini ambapo swali swali la kwanza liliulizwa na Mh Freeman Mbowe.


HABARI NA PICHA KWA HISANI YA MILLARD AYO BLOG.

VIVAZI VYA HALLOWEEN.