Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 31 October 2009

CHRIS BROWN IS BACK


Chris Brown amerudi tena katika ulimwengu wa Music baada ya kutumikia adhabu yake,ametoa single mpya inayokwenda kwa jina la 'I CAN TRANSFORM YA'akiwa amewashirikisha Lil Wayne na Swizz Beats,single hiyo tayari ina video unaweza kuitazama kupitia youtube,its real cool try to check this out.

Friday, 30 October 2009

JIJI LA DAR ES SALAAM NI GIZA TUPU.



Hivi hili tatizo la mgao wa umeme litaisha lini Tanzania? ni kweli Serikali inashindwa kutatua tatizo hili? tutafika kweli kwa staili hii? wenzetu wanajenga barabara chini ya bahari, sisi hata hili la umeme linatushinda.Hivi hawa viongozi wetu hawana hata chembe za wivu wa maendeleo? inasikitisha na kukera sana.

Thursday, 29 October 2009

BUSTERYMS NDANI YA FIESTA ONE LOVE 2009.



Msanii maarufu kutoka Marekani Busteryms atatumbuiza katika tamasha la Fiesta one Love Litakalofanyika Leaders club kinondoni Dar,kiingilio kitakuwa 10,000Tsh tuuuu ukiwahi kununua ticket mapema.

JIMIE FOX IS TOO OLD FOR LOVE.



Jimie clams he is to old for love, Jimie said he has no problem meeting potential girlfriends, but they soon loose interest in him when they realized that he is advancing years.he is quoted saying,"what is weired is when you meet a girl who is 23,you ask how ols is she,she say iam 23,and how old are you? when i tell her iam 41 is like i have just told her i have cancer,she just say ooooh! my God and walk away"

Ushauri kwa Jimie, siutafute wanawake wa umri wako? wewe unataka vibinti tuuuu haya sasa.

HAPPY BIRTHDAY AUNTIE EZEKIEL.




Msanii wa filamu Tanzania nayekuja kwa kasi ya ajabu Auntie Ezekiel, jana ilikuwa siku yake ya kuzaliwa,blog ya STRIVE FOR LIFE inakutakia maisha marefu na Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka mingi zaidi.by the way mlipendeza sana wadada.

Wednesday, 28 October 2009

YVONNE CHAKACHAKA KUIMBA WIMBO RASMI WA KOMBE LA DUNIA.



Mwanamuziki mkongwe Yvonne Chakachaka amechaguliwa kuimba wimbo utakaotumika kama wimbo rasmi wa kombe la Dunia mwakani, nchini Africa ya kusini,Hongera mama.

Tuesday, 27 October 2009

KIKWETE ATAKA DIASPORA KUWEKEZA NYUMBANI



Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametoa rai kwa watu wote wenye asili ya Africa waliotawanyika sehemu mbalimbali Duniani,watumie uwezo wao walionao kuwekeza katika Bara La Africa na kusaidia kuleta maendeleo,rais pia amepinga mtazamo hasi uliotawala katika nchi nyingi za Magharibi hasa katika vyombo vya habari, kuonyesha kuwa Africa ni bara lisilokuwa na kitu kizuri bali machafuko,magonjwa,njaa na umasikini.

LIL WAYNE IN PRISON FOR POSSESSION OF FIREARM.



The Grammy winning rap artist Lil Wayne on thursday acknowledge the possession of firearm,and was sentenced to one year in Prison,Police they found the gun on his tour bus in Manhattan.The Police managed to tie to him with the help of DNA technology.

Monday, 26 October 2009

TEN PRINCIPLES OF SUCCESS

1.VISION:have a clear picture of what exactly is it you want to achieve,
keep this picture at the top of your mind at all time.

2.BELIEF:believe without a shadow of doubt that you can do it,
believe that you will succeed,
stay away from negative influences(people,books/articles,anything negative.which make you doubt your ability to succeed.sorround yourself with things that remind you that you can,and will succeed.

3.RESPONSIBILITY:Realize that you alone are responsible for your future.
dont look for anyone to blame,
feel free to ask for help as you need it,but remember the final
decision is up to you.

4.AFFIRM:Make abilty habit of saying out loud what you hope to achieve.speak of it
in the present tense e.g; iam fit and trim,as opposed to i will be fit
and trim,if you feel awkward speeking out loud to yourself,write down
the affirmation,then look at it several times each day.this help your
mind stay focused on the goals.

5.COMMITMENT:Make a firm of commitment to action
Decied to take whatever steps you need to take to help you achieve your
goals.then honour the the commitment you have made.too often we find it
easy to keep our commitments to others while neglecting to keep our commitment to ourselves.This pattern has to change if you want to succeed in life.

6.SET A SMART GOAL:Now that you know what you want to achieve or become,you need to
define it by making it a goal.
Your goal has to be specific, measurable and motivational

7:PLAN AND TAKE ACTION:Work out a plan of action.break down the plan into the baby
steps,take a step or two each day,remind yourself that each
step is bringing you closer to your goal.perform each act to
the best of your ability,filled with faith,determinatin and purpose to reach your goal.

8:PERSISTENCE:Do not give up until you have achieved what you desire, be willing to
change any part of your plan which turns out not to work,and try something else.

9.GRATITUDE:Maintain the attitude of gratitude,knowing that your dream is about
to become reality.refuse grumble when circumstance look contrary,refuse to complain,be grateful for where you are now, and for where your aheaded.

10:BECOME A GIVER:In your relationship,always think in terms of what you can do for
for the other person.what goes around comes around,after all,whatever dreams you have mostly likely interacting with other people.Be kind and generous to all;you never know where your breakthrough will come from.

Sunday, 25 October 2009

SWALI LA KIZUSHI



Hivi bodyguard huwa anakaa nyuma au mbele ya mtu anayemlinda? maana naona 50cent mmmmmmh au alikuwa akikwepa kamera za mapaparazi?

Saturday, 24 October 2009

OBAMA OFFICIAL FAMILY PHOTO



Obama kama hujanunua Bastola nunua fasta maana hako kabinti kako kanazidi kunawili kila baada ya siku,Nahisi vidume vishaanza kumnyatia.

IS MADONNA ADOPTING ANOTHER BABY? by Roberta.



Madonna is heading out to Malawi on Sunday, to lay the foundation stone for Girls school that she is bulding there.But the real Question is, is it a cover up for Madge to snatch up another unsuspecting child? mmmmmh mie sijui

Friday, 23 October 2009

MIDUME KUTOKA KENYA YAFUNGA NDOA LONDON



Ukiataajabu ya Musa utayaona ya Filauni,Hao wanaume hapo juu Daniel Chege Gichia kushoto mwenye ndevu,yeye ndiye Bwana harusi akiwa na bibi harusi Charles Ngeki wakati wa ndoa yao iliyofanyika 17 October 2009,ilikuwa ni ya kwanza miongoni mwa wa Wakenya wanaoishi LONDON.Watu takribani 100 walihudhuria sherehe hiyo,walinda mlango walizua kuingia wapiga picha wakihofia picha hizo zingefika kwenye magazeti ya Kenya.

Thursday, 22 October 2009

PARODOX OF THE DAY

Expecting the World to treat you fairly simply because your good Person, is like expecting the Lion not to attack you because your vegeterian.So think about it.

Dont walk as if you rule the World, walk as if you dont care who rule the World .That called attitude.Keep on rocking.

THE FIRST LADY MAMA SALMA KIKWETE



Mke wa rais mama Salma Kikwete ametunikiwa tuzo ya MAMA WA UPENDO na wanafunzi wa sekondari Mvumero mkoani Morogoro,ikiwa ni ishara ya shukurani kwa wanafunzi hao kwa jinsi anavyowajali na kuwasaidi watoto wenye shida.KEEP IT UP MAMA.

Wednesday, 21 October 2009

INCASE YOU DID`NT KNOW.PARIS HILTON DOG`S HOUSE COSTED 325,000USD



Ama kweli life is not fair, kuna watu wanatumia mamilioni ya fedha kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi Mbwa na bado matumizi ya kila siku ya huyo mbwa, at the same time kuna watu ambao wanaishi kwa neema ya Mungu Hawajui watakula nini, watavaa nini.WE ARE LIVING IN A CRAZY WORLD.

DESTINY CHILD BACK TOGETHER 2010



Kundi la wanadada watatu lililowahi kuvuma miaka ya nyuma linasemekana kuwa pamoja mwaka 2010. we love you girls and we real want you back.

PARODOX OF THE DAY

Succes is already inside you its youself confidence that has to see it.

Life is not set up for you to know outcomes, it setup for you to take risk on behalf of yourself.

Tuesday, 20 October 2009

MAMBO SI SWARI KWA ELIZABETH WA BIG BROTHER



Kwa mara nyingine mwakilishi wa Big Brother Africa Elizabeth amechaguliwa kutoka,hivyo waTanzania wote nje na ndani ya nchi munaombwa kumpigia kura za kutosha ili aweze kuwepo ndani ya jumba hilo.
Hapo anaonekana ameshika Bendera ya Tanzania akiwa na Masanii maarufu kutoka Marekani KERI HILTON.

HIYO NDIO EXTRA BONGO NEXT LEVEL YA MZEE WA FARASI ALI CHOKI.




Vijana wamependeza kweli sio siri.

Saturday, 17 October 2009

WEEKEND NDIO HIYOOOOOO! JUST WANNA WISH YOU ALL BRILLIANT WEEKEND

Nipo nyumbani najaribu kutafakari cha kufanya siku ya leo.Ila sitaki kutoka nje maana ni bariiiiidi.mie nawatakia weekend njema wenye kujirusha na kubanjuka mjirushe salama, ila angalieni msije mkadondokea kichwa.





Wednesday, 14 October 2009

KANUMBA NA MECKISHA NDANI YA LOVELY GAMBLE

Kanumba kwa kushirikiana na Meckisha wanakuletea filamu mpya inayokwenda kwa jina la LOVELY GAMBLE.Inasemekana ni moto wa kuotea mbali, get ready

RIHANNA LOOKING FABULOUS ON HER JUMP SUIT


KATE PERRY AND RIHANNA ATTENDED THE KARL LAGERFELD 2010 READY TO WEAR SPRING SUMMER FASHION SHOW


Lilwayne X wife Toya brought along two dates to the show.Her new Man James Hardy and TI,s Fiance Tiny.

FRIENDS TOYA AND TINY


AY AKISALIMIANA NA MASHABIKI NAIROBI KENYA

AY alikuwa ni miongoni mwa wanamuziki waliochaguliwa kushiriki mashindano ya MTV MUSIC AWARD nchini Kenya,alikuwa katika upande wa Hip Hop ambapo Amani mwanamuziki kutoka kenya aliibuka mshindi.

SUPER STAR WA BONGO FLAVA SARAH(SHAA)

Mwanamziki wa kizazi kipya Shaa, akisalimiana na mashabiki wake jijini Nairobi Kenya, yalikokuwa yakifanyika Mashindano ya MTV MUSIC AWARD Shaa alikuwa miongoni mwa wanamuziki waliochaguliwa kuhindania tuzo hiyo ambapo mwanamuziki Dibanj kutoka Nigeria ndie aliyebuka mshindi.

ANGELINA JOLIE BATTLE WITH MEGAN FOX

Actress Angelina Jolie is Battaling with Megan Fox for a role in a new remarke of BARBARELLA
Jolie ,34, is reportedly feeling under threat from 23 years old Megan Fox.The pair both want to star in the remarke of the 1968 film and are both auditioning for the lead role.
A source revealed *This will be the first time Angelina and Megan have ever faced off the same role.*Ange is real feeling the pressure.Ange knows that to win role she has to look youthful*The insider added,Megan is Stunning and fast becoming a huge star.Angelina is Petrified*What do you think?
Leo ni siku muhimu sana kwa waTanzania wote ulimwenguni kote .Mwalimu Julias Kambarage Nyerere Sasa ni miaka 10 toka ulipotutoka Daima tutakukumbuka. Hasa katika kipindi hiki ambacho Taifa linakabiliwa na matatizo mengi hususani UFISADI,
Mshindi wa Bongo Star search kwa Mwaka 2009 Pascal Casian (Baba Lita) Kutoka Mwanza Akipokea mfano wa hundi ya shilingi Milion 25,Kutoka kushoto ni mwakilishi kutoka Vodacom,na muandaaji mkuu wa BBS Madam Lita Paulsen.