Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 12 November 2010

NIPO NYUMBANI TANZANIA.

Nimewakumbuka sana wajameni,nipo home ni joto balaa, ni mengi yanajili lakini nitawaabarisha nikirudi.Maana network inasuasua.
SIKU NJEMA KWENU WOTE

Friday, 5 November 2010

ADIMIKO!



Napenda kuwataarifu wasomaji wa STRIVE FOR LIFE kuwa nitaadimika kwa kipindi kifupi, nitakuwa na mapaumziko kidogo pengine inaweza kuwa ngumu kupost.... Siunajua tena mambo ya mapumziko? hehehee Ila nikipata nafasi au uwezekano wa kupost basi nitafanya hiyo....Maana mmmmmh naona kama nitawamis sana vile.
Samahani kwa usumbufu wowote utakao jitokeza
THANKS FOR BEING PART OF THIS BLOG,LOVE YOU ALL AND HOPE TO SEE YOU SOON.

Thursday, 4 November 2010

DUKA LA MTANDAO!

Habari njema kwa Ndugu zangu Watanzania mnaoishi nje ya Tanzania, Tumefungua Duka la Mtandao(Onlineshop) la kuuza Chai na Kahawa ya Tanzania tuu. linaitwa Chai & kahawa Online Shop(www.chaikahawa.com) na liko Stockholm, Sweden.tunaweza kuuza na kusambaza chai na kahawa kwa mteja yeyote aliyopo nchi yeyote duniani. wote mnakaribishwa Kununua na kujivunia bidhaa zetu.

Kwa Mawasiliano,Maoni,Ununuzi wasiliana nasi kwa kutumia email info@chaikahawa.com au piga simu,tuma ujumbe mfupi(sms) + 46762878341.

NB:website iko kwenye Flash, kama utapata tabu kuifungua download flash adobe

LEO NIMEAMKA NIKIWA NA FURUHA SANA HATA SIJUI INATOKANA NA NINI

Kuna siku unaweza kuamka ukiwa mnyonge au furaha na usijue hali hiyo inasababishwa na nini? Leo nimeamka nikiwa na furaha ya ajabu....Ili kukamilisha furaha yangu nikaona bora nijifotoe kabla sijaanza kufanya shughuli yoyote siku ya leo.











Sijui kwa nini kila picha ninayopiga huwa lazima nipindishe shingo!
NAWATAKIA SIKU NJEMA WOTE.

Wednesday, 3 November 2010

UMISS!!!!


Wanawake tunakazi kwelikweli,ona kalivyojikondesha.... Masikini usikute kana kunywa chai na biskuti kila siku lol.....,Ukimuuliza kwa nini amejikondesha hivyo atasema anataka kuwa miss au anataka aonekane ni mrembo zaidi.Mmmmmh mimi naona amepitiliza mno.