Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 27 September 2010

NANI KASEMA WAZUNGU HAWAWEZI KUKATA VIUNO?


Sikuweza kufikiria kama hawa watu wanaweza kukata viuno namna hii.. hahahaaa,tena wanakatika vizuri pengine kuliko hata wakongo wenyewe ....lol.

Friday, 24 September 2010

HUYU NAYE ANAFANYA NINI?

Sasa na wewe unachungulia nini hapo jamani? kabinuka utafikiri anayemchungulia ni mtu ,hahahaa kuna watu wanavuko!

SOME PEOPLE GOT BIG MONEY!

Jay -z na mke wake Beyonce wakishuka kutoka kwenye Private Jet yao....what a life.
Na hiki ndicho kisiwa ambacho Jay-Z amemnunulia Beyonce.
Hakuna cha jirani wala kelele ni wawili tu.

Monday, 20 September 2010

JE NI KWELI NCHI ZA AFRIKA ZIMEFANIKIWA KUPUNGUZA UMASIKINI?



Umoja wa Mataifa umesema kuwa nchi za Afrika zimepata mafanikio kadhaa katika kupunguza umaskini kwa kipindi cha miaka kumi, tangu viongozi wa dunia walipoweka malengo ya milenia ya maendeleo.

Akizungumza mjini New York kabla ya kikao cha kutathmnini mafanikio yaliyofikiwa tangu mwaka 2000, naibu mkurugenzi wa Umoja wa Mataifa wa uhamasishaji wa malengo hayo barani Afrika Charles Aburge amesema ukuaji wa uchumi barani Afrika umesababisha kufikiwa kwa malengo hayo katika nchi nyingi.

Lakini Afrika inaendelea kuathiriwa chini ya kile kinachoitwa uchumi huria ambao haudhibitiwi na kodi zinazotozwa na nchi tajiri.

Sweden exports weapons to Saudi Arabia.




The Swedish Agency for Non-Proliferation and Export Controls (ISP) accepted already 2002 that Saab started selling weapons for combat to Saudi Arabia. This was during the Social Democratic government and most politicians in the committee for export control said yes. Already then, the issue was controversial.

Since then, several deals have been discussed. Some got a Yes and som got No. But the possibility to sell weapons to Saudi Arabia is still open because nothing dramatic has happened since 2002, says ISP chief Andreas Ekman Duse to Dagens Industri (DI).

- The only export prohibitions are countries which are bound by an embargo from the UN or the EU. Then it is of course prohibited, but in all other cases there is no such prohibition, says Ekman Duse to DI.

Already in 2007, Saab Bofors made public a foreign order of the anti-tank missile system Bill 2, but they chose to keep secret who was the buyer. The secrecy was kept until now, much because of the fact that the weapons were not delivered until this year.
Trade Minister knew nothing

Minister for Trade Ewa Björling said last year that Sweden does not sell weapons for combat to Saudi Arabia because of the country's lack of democracy and human rights.

Today Minister Björling says to Sveriges Radio that she was not informed by ISP about the weapon affairs.

Saab AT4 portable anti-tank missile. This is one
of Saab's anti-missile systems. The one sold to
Saudi Arabia, Bill 2 is heavier.

Sweden's export of weapons to Saudi Arabia comprises SEK 44 million (4.7 million euro). It concerns advanced anti-tank missiles ready for combat.

But compared with the United States possible future weapon export to Saudi Arabia, Sweden's part is a drop in the sea.

The Obama administration wants to sell weapons to Saudi Arabia for about USD 60 billion (45.9 billion euro).

According to Sveriges Radio, Saudi Arabia and USA want finish this deal to meet the increasing threat from Iran. The United States also sells big amounts of weapons to Israel for this reason.
Mmmmmh it`s scary wajameni.

Sunday, 19 September 2010

LADY IN RED!

Rihanna
Lady Jaydee.
Wamependeza na nywele zao NYEKUNDU eeeehe! nawatakia jumapili njema wote....
Stay blessed.

Saturday, 18 September 2010

VIPI TENA DADA?



Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini ambaye alikuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, Nakaaya Sumari, ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nakaaya katangaza hayo mbele ya mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati wa mkutano wa kampeni za Wilaya ya Arumeru.

Thursday, 16 September 2010

JAMANI KAMA NI FASHION SASA IMEPITILIZA!

Lady Gaga haishiwi vituko, kila kukicha anaibuka na fashion mpya ya nguo...How can somebody wear meat jamani? We all knows that she is attention-Seeker ila hii mmmmmh .Can you imagine hii nguo aliyovaa ni nyama ya ukweli kabisaaa.
Hahaaa viatu navyo ni nyama....kazi kweli kweli.

Tuesday, 14 September 2010

KUMBE POMBE PIA NI CHANZO CHA WATOTO WA MITAANI?

Hilo sio shimo bali ni makazi ya watoto wa mitaani yaani hapo ndipo mahali wanapolala....



Wakizungumza na mwandishi wa habari walisema sababu zilizowafanya watoke majumbani mwao ni kutokana na ulevi wa wazazi wao hasa kina baba. ”MIMI NIMETOKA NYUMBANI KWA SABABU BABA YANGU NI MLEVI NA ANAMPIGA MAMA KILA SIKU HADI MAMA AMEENDA KWAO NA MIMI NAPIGWA KILA SIKU BABA YANGU MIMI NI MLEVI HASWA” MMOJA WAO ALISEMA.
Source Mohamed dewji.

HOT PERFORMANCES AT MTV MUSIC VIDEO AWARDS 2010

Usher "falling in love" and OMG.
Eminem and Rihanna "LOVE THE WAY YOU LIE"
Justin Bieber "U smile "Baby" "somebody to love"
Kanye West "Runaway"

Sunday, 12 September 2010

Milele Mercy Masika.


Ikiwa ni jumapili iliyotulivu baada ya mizunguko ya hapa na pale ukiwa umepumzika nyumbani na familia au marafiki burudika na Mercy Masika akikwambia anatamani kuwa na wewe YESU milele.God bless you all and have a very wonderful sunday.

Tuesday, 7 September 2010

WATU WENGINE WANACHEZEA UHAI!

Pombe sio chai jamani..., jamaa akiwa kapumzika baada ya kuelemewa na pombe.
Hapa akijitahidi kuinuka ili aendelee na safari yake, hivi inakuwaje mtu umelewa kiasi hicho alafu unathubutu kuendesha baiskeli? na usikute ni mume wa mtu na ana watoto, aibu gani hii?. Duuuh watu wanacheza na uhai.

Thursday, 2 September 2010

UNAKUMBUKA YEKEYEKE?


Huu wimbo unaitwa yekeyeke aliyeimba anaitwa Mory Kante,ni moja ya nyimbo ambazo naweza sema hazipitwi na wakati kwangu.Mara ya kwanza kuusikia ilikuwa mwaka 1990 kwenye graduation ya mjomba angu huko unyalukoloni....watoto wote waliokuwepo hapo siku hiyo tukaambiwa tushindane kucheza YEKEYEKE atakae shinda atapata shilingi 5 si nikashinda bwanaaa... furaha niliyokuwa nayo hakuelezeka.
By then shilingi tano kwa mtoto ilikuwa kubwa sanaaa.
Kilichonifanya nikumbuke huu wimbo leo nikiwa kwenye bus pembeni yangu alikuwa amekaa kijana fulani hivi, nilishangaa huyo kijana aliponisalimia maana si kawaida ya wasweed kusalimia kama hamfahamiani...akasema yeye anatoka Australia: maongezi yalikuwa kama ifuatavyo, You are from Africa right? nikajibu Yap, Akasema i like African Music
Nikasema good to hear that,nikamuuliza do you know any artist? akasema I know Mory Kante...Nikaguna coz nilikuwa hata sikumbuki who is Mory Kante,akaniskilizisha ndio kukumbuka.I was like OMG!!! Umenikumbusha mbali sanaaaaaaaa.
Je wewe una wimbo wowote unaoupenda toka utotoni mpaka sasa?

Wednesday, 1 September 2010

AHADI TANO ZA KIZALENDO.

1.CHADEMA WOTE NI NDUGU ZANGU NA RAIS 2010-2015 NI SLAA
2.CCM NI ADUI WA HAKI.SITAKUBALI KUICHAGUA`WALA KUONGOZWA NAYO
3.NITAPIGA KAMPENI KWA KADRI YA UWEZO WANGU NA KUCHAGUA CHADEMA KWA FAIDA YA WATANZANIA WOTE.
4.AKILI NI MALI,SITATUMIA AKILI YANGU WALA MALI YANGU KUKAMPENI CCM.
5.NITASAMBAZA MESEJI HII KWA KADRI YA UWEZO WANGU ILI TULIKOMBOE TAIFA.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mmbariki rais ajaye DR Slaa

SALA MAALUM.
Tusali kwa pamoja......

Asante Mungu kwa kuipenda Tanzania hata ukamtuma mwanamapinduzi wa pekee Dr. Slaa ili kila Mtanzania atakayempigia kura apate kuleta ukombozi wa kweli. Tazama umemtuma kwa wapenda haki ili patakatifu (Ikulu) pawe na Amani, Sasa basi Mungu wasaidie Watanzania wenzetu wasio na ujuzi wa kutambua nani kiongozi bora wamtambue kuwa amekuwa akidai haki zao yapata miaka 15, Mungu tuepushe na rushwa za vitenge, pombe, simu, pikipiki na ahadi za uongo maana wewe hupendi uongo.


Ni katika jina la Mungu Baba tunaomba na kushukuru. AAAAAAAMEN!


CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEE!!!


CCM MARLOW



Note:Hii si kampeni kwa chama chochote....After all mimi sina chama chochote.