Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 31 December 2010

HAPPY NEW YEAR 2011 STRIVE FOR LIFE READERS.


H ours of happy times with friends and family
A bundant time for relaxation
P rosperity
P lenty of love when you need it the most
Y outhful excitement at lifes simple pleasures

N ights of restful slumber (you know - dont' worry be happy)
E verything you need
W ishing you love and light

Y ears and years of good health
E njoyment and mirth
A angels to watch over you
R embrances of a happy years!

2010 was such an amizing year a lot of good things happened to me....of course i got married heheeee and through blog i got to know some of my fellow bloggers, Dada YASINTA upo? SIMON KITURURU niaje kaka? Tunaongea kwa simu tuu but it feels like we have already met...Na bloggers wengine wote popote pale mlipo ULIMWENGUNI nawatakia heri ya mwaka mpya 2011.AND LETS KEEP UP THE GOOD WORK,GOOD BYEEE 2010 AND WELCOME 2011.

Wednesday, 29 December 2010

MMMMMH HUU NAO NI UGONJWA!


Ulimwengu wa sayansi na technologia umetufanya tumekuwa watumwa ,kuna watu wanaweza wakatumia masaa zaidi ya 12 kwenye computer bila kula au hata kufanya shughuli nyingine yoyote,iwe kwa matumizi sahihi au kinyume na hapo...Ni kweli kuwa ulimwengu wa sasa mambo mengi yanafanyika kwa kutumia Computer,Lakini inatubidi pia tufikirie na madhara ambayo yanaweza kutokana na Computer....Mimi napenda computer lakini si kwa kiwango hiki....HUU NI UGONJWA.

Sunday, 26 December 2010

TAKING YOU BACK IN TIME!

Kama kuna nyimbo ambazo utamu huwa hauiniishi moja wapo ni huu hapa wa Haddaway,(WHAT IS LOVE)Huu wimbo ulivuma sana miaka ya 90.


Msikilize pia Eminem FT lil Wayne, yeye anasema NO LOVE nimejaribu kuusikliza huu wimbo kwa mbaali nikasikia sauti ya Haddaway na pia beat kwa mbali lina fanana na la Haddway.

Zote ziko poa lakini Haddaway bado ni mkaliiiiii.

Friday, 24 December 2010

MERRY CHRISTMAS EVERYBODY!


Nawatakien wote Xmas njema....I wish ningekuwa Bongo maana kila nyumba leo itakuwa inanukia pilau mweeee.

Thursday, 23 December 2010

Obama asaini sheria ya mashoga jeshini



Rais Barack Obama ametia saini sheria ambayo kwa mara ya kwanza itaruhusu mashoga jeshini kuwa wazi na hali zao za kijinsia bila ya kuwa na wasiwasi wa kufukuzwa kazi.


Rais Barack Obama
Rais Obama amesema mabadiliko hayo yataimarisha jeshi na kwamba ilikuwa ni hatua sahihi ya kuchukua.

Katika sera ya zamani, iliyojulikana kama "Usiulize, Usiseme" iliruhusu mashoga kufanya kazi jeshini, lakini kwa kuweka hali ya jinsia zao siri.

Sera hiyo ilianzishwa miaka kumi na saba iliyopita wakati wa utawala wa rais Bill Clinton, ikichukua nafasi ya kupiga marufuku mashoga jeshini.
Chanzo BBC

Wednesday, 22 December 2010

MISHEMISHE ZA CHRISMAS KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Huu ni mtaa wa kongo (KARIAKOO) Mtaa ambao hauna jumapili ,jumamosi wala sikukuu, wakati wote umejaa watu., mtaa ambao umejaa matapeli,wezi ukizubaa unaibiwa hadi nauli ya daladala, pia ukinunua kitu kariakoo inabidi uhakikishe kabla hujafika nyumbani,vinginevyo unaweza kununua viatu ukifika nyumbani unakuta ni makaratasi.. Mimi nilishawahi kuingizwa mjini miaka kadhaa iliyopita, nilinunua viatu vyeusi kufika nyumbani kufungua viatu ni vyekundu tena vyote vya mguu wa kushoto,Vioja vya kila aina hutokea mahali hapa. Ukiwa ndio msimu wa sikukuu (X-MAS) Wakazi wa jiji la Dar es salaam wako bize kujipatia mahitaji yao kwa ajili ya maandalizi ya Christmas. KAMA NA WEWE ULISHAWAHI KUINGIZWA MJINI AU KIOJA CHA AINA YOYOTE KILIKUPATA AU ULIONA NINGEFURAHI KAMA UNGESHEA NASI.

Monday, 20 December 2010

KUMEKUCHA!


Ni saa moja na nusu asubuhi,Pilikapilika za kutafuta ridhiki zimeshaanza katika jiji la Dar es salaam....Haijalishi ridhiki yako unaipataje? cha muhimu ni kwamba mwisho wa siku kila mtu ameweza kupeleka mkono kinywani....Siku moja nilipokuwa nyumbani Dar es salaam asubuhi saa moja na nusu na mimi nikiwa kwenye mizunguko yangu nilikuta na na hii familia ikiwa imesimama katikati ya barabara, nilikuwa na shauku ya kutaka kujua ni nini wanafanya? nikawasogelea na kujifanya kama nimepotea mahali ninapokwenda hivyo naomba kuelekezwa, wakanielekeza, baada ya kuelekezwa nikawauliza wanafanya nini katikati ya barabara? na hawaoni kama ni hatari? wakawa kimya kwa sekunde kadhaa ndipo binti mmoja akaropoka na kusema sisi ni OMBAOMBA.Nikawauliza kwa hiyo nyiyi ni familia moja? wakasema ndio.Mnasoma? mama yao akajibu watasomaje wakati hata mahali pa kulala hatuna? Nilitamani kujua mengi kuhusu hii familia lakini muda ukawa umenitupa mkono..Kiukweli inasikitisha kuona familia yenye mabinti wenye umri wa kwenda shule wapo mitaani wakiomba.

Friday, 17 December 2010

WEEKEND NJEMA KWENU NYOTE.


Mimi si mpenzi sana wa chai,ila mazingira haya ya baridi yamefanya nilazimike kunywa chai kwa wingi ili kuumpa mwili joto...Maana hili baridi balaa.
Nawatakia mwisho wa wiki ulio mwema.

TRUE LOVE!


A kindergarten teacher has decided to let her class play a game. The teacher told each child in the class to bring along a plastic bag containing a few potatoes. Each potato will be given a name of a person that the child hates, so the number of potatoes that a child will put in his/her plastic bag will depend on the number of people he/she hates.

So when the day came, every child brought some potatoes with the name of the people he/she hated. Some had 2 potatoes; some 3 while some up to 5 potatoes. The teacher then told the children to carry with them the potatoes in the plastic bag wherever they go (even to the toilet) for 1 week.

Days after days past by, and the children started to complain due to the unpleasant smell let out by the rotten potatoes. Besides, those having 5 potatoes also had to carry heavier bags. After 1 week, the children were relieved because the game had finally ended.

The teacher asked: ‘how did you feel while carrying the potatoes with you for a week?’ the children let out their frustrations and stated complaining of the trouble that they had to through having to carry the heavy and smelly potatoes wherever they go.Then the teacher told them the hidden meaning behind the game.

The teacher said; “This is exactly the situation when you carry your hatred for somebody inside your heart. The stench of hatred will contaminate your heart and you will carry it with you wherever you go.
If you cannot tolerate the smell of rotten potatoes for just one week, can you imagine what is it like to have the stench of hatred in your heart for your life time??

Moral of the story

Throw away any hatred for anyone from your heart so that you will not carry sins for a life time. Forgiving others is the best attitude to take. True love is not loving the perfect person but loving an imperfect person perfectly. Love me when I less deserve it, because its then when I need it most.

Thursday, 16 December 2010

MICHELLE OBAMA THE FASHIONISTA....

So fresh so clean .....
What a cute smile? mie umenimaliza na hiyo yellow yako imetulia kwelikweli.
Waoooh iam speechless......
She is more than first lady,.....she is so into Fashion, i love her.

Wednesday, 15 December 2010

"Growing Up African" Reality Stars - Plans and Complete Details"

Show ya "Growing Up African" inayo onesha familia kutoka Tanzania na maisha yao Marekani imeanza kutoa video. Kwenye mwezi huu wa December kila wiki kutuakua na Episode zitazokuja kwenye website yao. Episode ya kwanza inaonekana sasa hivi na tunawaomba watanzania wenzetu waangalie hizi episode hili show iingie kwenye network haswa. Kwenye hizi episode utakutana na ndugu wote kwenye familia kutoka kwa Bea, Eliza, Jesca, Johnson hadi Andrew amabo huwa maisha yao ni tufauti kwa kila mtu. Episode nyingine zitakuwa na familia nzima ambao utaona hile "family dynamic" ya ndungu. Hapo hapo kutakuwa na vipindi kama PSquare kwenye New York City, na arusi kubwa ya ndugu na mambo ya mengi hili watanzania waone maisha yalivyo Marekani. Kutakua kuna mambo ya kitanzania kila saa kama Party ilivyokua, Washington DC ya Uhuru wa Tanzania na Speech ya Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda alivyofika hapa New York kwenye Delegation. Hii show kwanza, niyasisi Watanzania na tunabidi tuwasikie mnavyosema kabla ya kuwa kwenye International Spotlight na network kubwa huku Marekani. Watu hizo episode wanaweza kwenda kwenye youtube.com, bongo5.com au G5click.com kwenye "Growing Up African kuona hayo mambo. Website saa hivi hiko tayari na yenyewe ina mambo mengi sana kama mawazo ya familia kwenye issues kama musiki, fashion, urembo, na vinginevyo vingi kwenye blog zao. Mwezi wa December utakuwa Introduction ya mambo ya show na bado tunaendelea kusikiliza maoni ya watu huko nyumbani na ndio familia itachagua network ya kuirusha Season ya kwanza. Familia itakuja Tanzania mwakani, 2011.

Asanteni Sana, na ninaomba ushauri na mawazo kutoka kwenu kama watanzania wenzetu.
Kwa mwenye ushauri zaidi naomba ujisikie huru kuwasiliana nami kwa

Cellphone: +1917 442 1822
Barua Pepe: lupembejames@yahoo.com

Tuesday, 14 December 2010

YOU SHOULD ALWAYS THINK TWICE BEFORE YOU ACT

A young lady was waiting for her flight in the boarding room of a big airport she would need to wait many hours, as she decided to buy a book to spend her time. She also bought a packet of cookies.

She sat down in an armchair, in the VIP room of the airport, to rest and read in peace. Beside the armchair where the packet of cookies lay, a man sat down in the next seat, opened his magazine and started reading.

When she took out the first cookie, the man took one also; she felt irritated but said nothing. She just thought “what a nerve! If I was in the mood I would punch him for daring”. For each cookie she took, the man took one too. This was infuriating her but she didn’t want to cause a scene.

When only one cookie remained, she thought: “ah…what this abusive man does now?”
Then, the man, taking the last cookie, divided it into half, giving her one half. Ah! That was too much! She was much too angry now! In a huff, she took her book, her things and stormed to the boarding place.

When she sat down in her seat, inside the plane, she looked into her purse to take her eyeglasses, and, to her surprise, her packet of cookies was there, untouched, unopened! She felt so ashamed!! She realized that she was wrong…. She had forgotten that her cookies were kept in her purse.

The man divided his cookies with her, without feeling angered or bitter. While she had been very angry, thinking that she was dividing her cookies with him. And now there was no chance to explain herself ….nor to apologize.

AMERICANS ARE NOT STUPID......


Cheka kidogoooooo tu.

Monday, 13 December 2010

MR & MRS ÖHMAN

OUR WEDDING TOOK PLACE ON 27th NOVEMBER 2010 IN DAR ES SALAAM TANZANIA.
CHURCH:ST JOSEPH
VENUE:LANDMARK HOTEL





























Matron akiweka mambo sawa.


Tukiingia ukumbini


tukitoka nje ya kanisa baada ya ndoa

Tukikata cake huku matron wangu akishangilia

Team yangu nzima tukiwa na nyuso za furaha........












Sunday, 12 December 2010

Suicide bomber in central Stockholm.



A car exploded at the busy shopping street Drottninggatan in central Stockholm. Then there was another explosion some distance away and one man died.
According to news agency TT, a man had blown himself to death.
He carried six interconnected pipe bombs but only one exploded. He also had a backpack full of nails, according to newspaper Aftonbladet.

after the explosions in central Stockholm on Saturday afternoon. But the initial information from the police was very unclear. The initial information described two car explosions, but later it proved to be just about one.

“A car at street Olof Palmes gata has exploded, we got the alarm at two minutes over five o'clock PM. Two minutes later, we received yet another alarm about an explosion from street Bryggargatan some distance away," said Ulf Göranzon, at the Stockholm Police.

A man was found dead at the place of the second explosion . According to news agency TT the police assumes that the man was not damaged in the car explosion, but that he somehow blasted himself.

Shouted in Arabic

Police bomb technicians examined the dead man's bag by using a bomb robot. Radiographs show that it contained a large quantity of nails and an unknown substance which is suspected to be explosives.

At least four ambulances were sent to the scene.
Two people were taken to hospital with minor injuries, they had been in the vicinity of the explosions.

According to witnesses, the man shouted something in Arabic before the bomb detonated.

The Swedish news agency TT reports that both them and the Swedish Security Service received a video-film only ten minutes before the explosions.

In the film a man addresses to "Sweden and the Swedish people". He, among else, refers to the Swedish silence on artist Lars Vilks paintings of the muslim prophet Mohammed, the Swedish soldiers in Afghanistan, saying that "now shall your children, daughters and sisters die as our brothers and sisters and children are dying."

Security Service in meeting

The Security Service and the Stockholm Police are in a meeting following the explosions.

There is however still much confusion. The Security Service do not want to make any statement in the current situation. Safety measures have not been increased in Stockholm.

Thursday, 9 December 2010

SPANKING NEW VIDEO FROM CPWAA FT MS TRINITI....ACTION.


Cpwaa is really taking BONGO FLAVA to another level,... Go boy keep on making Tanzania PROUD.Nice video,great song and of course beutiful people.
Credit to DJ CHOKA.

Wednesday, 8 December 2010

MY SEND OFF!


Rafiki yangu nakupenda sana ndio maana nikaomba uwe shahidi wa ndoa yangu.
Wachumba wakipelekewa cake hehehe
Sasa hii cake tunaipeleka wapi? mimi nshachoka bwana kama vipi tuile wenyewe lol...
Soooo innocent

Wapoleeeeeeeeee
tukiwapa mkono wa shukrani wazazi

Mtu wa cake akitupa maelekezo jinsi ya kukata cake
Baba na mama waipokea cake

Asante sana mwanetu kwa cake hii







SEND OFF!

Mama akibariki champagne kabla sijaifungua na bibi kwa pembeni naye akisubiri kuweka baraka zake.

Baba mdogo weeee unataka kushindana na mimi kulisakata rumba? utachoka mwenyewe...
Wacha weeeeeeeeeee!
Mama na shangazi yake Christer kwa nyuma ni mjomba yake Christer.
Picha ya pamoja na ndugu

Wa kwanza kushoto ni Mdogo wangu wa mwisho JACKSON,anayefuata ni mama mdogo BEATRICE na huyo mwingine ndio mama yangu na wa mwisho ni mdogo wangu watatu kuzaliwa CHRISOPHER.
Mimi wadogo zangu na Matron wangu.
My sweet lil sis Tabitha along side our lovely lil brother Jackson.
My brothers shining as always....hawa ndio mabaunsa wangu mtu akileta zake za kuleta hawa ndio watakaompa dozi.....so so proud of you.