Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 30 November 2009

HIVI NI KWELI BABU SEYA NA WATOTO WAKE WALIBAKA?


leo ilikuwa ni siku ya kusikiliza rufaa ya Babu Seya na watoto wake watatu.Papii Nguza, Nguza Mbangu na Francis Nguza.Babu Seya na watoto wake wanapinga kifungo cha maisha walichohukumiwa na mahakama ya hakimu mkazi kisutu.Babu Seya na watoto wake walihukumiwa kifungo hicho mwaka 2004, baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kudhalilisha kijinsia watoto wa kike, ilitolewa na Hakimu Bi. Addy Lyamuya, ambaye kwa sasa amestaafu kazi.

Maombi ya rufaa yaliyowasilishwa na aliyekuwa wakiliwa wa Babu Seya, Bw. Hubert Nyange, ambaye sasa amejitoa yanaonesha sababu 15 za kupinga adhabu hiyo, ikiwamo kwa nini Jaji wa Mahakama Kuu hakuona kuwa hakimu aliyesikiliza kesi hiyo alishindwa kutokuwa na upande na kuathiriwa na mtazamo hasi juu ya wateja wake.

Babu Seya na watoto wake walikata rufaa Mahakama ya Rufaa baada ya Mahakama Kuu chini ya Jaji Thomas Mihayo, kutupilia mbali rufaa yao.

Nguza na watoto wake watatu walihukumiwa adhabu hiyo kwa kuwadhalilisha kijinsia wanafunzi wa kike maeneo ya Sinza, Dar es Salaam.

Swali ni je ni kweli Babu Seya na watoto wake walibaka? na kama si kweli haki iko wapi?

Friday, 27 November 2009

FROM ME TO YOU, WISH YOU WONDERFUL WEEKEND!!




BILA USAFI KIPINDUPINDU KITATUMALIZA

WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari katika suala la usafi ili kusaidia kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu.

Hatua hiyo imekuja baada ya idadi ya wagonjwa wa kipindupindu kuongezeka kutoka tisa hadi 38 ambao wamelazwa katika hospitali za Manispaa za Wilaya ya Temeke, Ilala, na Kinondoni.

Akitoa taarifa za ugonjwa huo Dar es Salaam jana Kaimu Mganga Mkuu wa jiji Dkt. Hawa Kawawa alisema wagonjwa 19 wametoka Wilaya ya Ilala na 11 Temeke.

"Mpaka sasa tuna wagonjwa 38 tumewapokea juzi asubuhi na wa zamani wanane, wengi wao wametoka maeneo ya Pugu, Vingunguti, Kiwalani, Segerea, Kiwalani, Kipawa , Ukonga, Ilala, Tabata, Majoe, Yombo Vituka na Kinyerezi ambao wanaendelea kupata matibabu," alisema Dkt. Kawawa

Dkt Kawawa alisema ukaguzi wa maeneo ya biashara unaendelea kufanywa katika manispaa zote ili kudhibiti maambukizi zaidi ya ugonjwa huo, na dawa za kukabiliana na ugonjwa huo zimesambazwa katika zahanati na hospitali tatu za wilaya.

"Tunaishukuru serikali kwa kutoa dawa hasa dripu kwani tumejitahidi kuwatibu wagonjwa kadri inavyowezekana ndio maana hakuna kifo hata kimoja, lakini wananchi wnatakiwa kuchukua tahadhari zaidi ili kumaliza tatizo hilo," aliongeza.

Aidha amewataka wananchi kuzingatia usafi, wafunike vyakula pindi wanapomaliza kupika, kunawa mikono kabla ya kula na wanapotoka chooni, wachemshe maji ya kunywa na kila wanapopata dalili za kipindupindu, ambazo ni kuharisha maji yenye rangi ya mchele na kutapika wawahi hospitali ili kupatiwa matibabu.

TANZANIA AND KENYA INDEPENDENCE DAY

Thursday, 26 November 2009

INGEKUWA VIPI KAMA KUNGEKUWA HAKUNA MAKE UP?

Marah Carey before make up
After make up.
Lisa Rinna before make up.

After make up.

Wednesday, 25 November 2009

MICHELE OBAMA LOOKING GLAMOROUS


The first Lady Michele Obama akiwa amevalia Gown refu a.k.a (floor length),hii pengine ni tofauti na vile tulivyozoea kumuona, if you take closer look utaona hata style ya nywele pia ni tofauti.Nguo hii imebuniwa na Mwanamitindo aitwaye Naeem Khan Michele alitoka hivyo kwenye kwenye Obama administration official first Dinner iliyofanyika white house jana.

Huyu ndiye aliyebuni nguo ya Michele Obama.He is an American Indian,mbali na hiyo ameshabuni nguo za wanamuziki maarufu kama Beyonce,Jennifer Lopez,Carrie underwood na pia alidizaini costume za Movie ya *DREAM GIRL* ya 2006.

Monday, 23 November 2009

MMH! T-SHIRT ZA SIKU HIZI!!!?.


Soma maneno ya kwenye T-shirt ya huyo dada alafu tazama mshale unakoelekea,Nahisi huyo kaka angesoma huo ujumbe wala asingethubutu kupiga naye picha.

OPRAH TO QUIT HER SHOW


Oprah ametangaza rasmi kusimamisha SHOW YAKE itakapofika mwaka 2011,Alipoulizwa sababu za yeye kusimamisha show yake alisema maneno haya.
*Here is the real reason. I love this show. This show has been my life. And I love it enough to know when it's time to say goodbye. Twenty-five years feels right in my bones and feels right in my spirit. It's the perfect number. The exact right time. So I hope that you will take this 18-month ride with me, right through to the final show."

Friday, 20 November 2009

BUSTERYMS KUTUA BONGO LEO.


Msanii maarufu kutoka pande za Obama, Busteryms anatarjia kutua leo Bongo,Buster ataperform live katika tamasha la FIESTA ONE LOVE,ambalo lilihairishwa wiki mbili zilizopita kutokana na kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa clauds Media Bw Alex Kusaga.Sasa litafanyika tena kesho katika viwanja vya Posta Kijitonyama.

Wednesday, 18 November 2009

MTUHUMIWA MAUAJI YA RWANDA ASHINDA RUFAA

MAHAKAMA maalumu ya Umoja wa Mataifa UN inayosikiliza kesi za mauaji ya halaiki yaliyotokea mwaka 1994 nchini Rwanda imemwachia huru mtuhumiwa ambaye awali alikuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 22 jela.

Bw. Protais Zigiranyirazo, ambaye ni mpwa wa Rais wa zamani wa Rwanda, Bw. Juvenal Habyarimana,aliachiwa huru juzi baada ya mwaka jana Mahakama hiyo kumtia hatiani kwa kula njama za mauaji ya watu wapatao 1,000.

Hata hivyo baada ya kukata rufaa majaji wa Mahakama hiyo walisema kuwa kuna makosa makubwa yaliyofanyika katika uendeshaji wa kesi hiyo na ukiukwaji mkubwa wa sheria.

Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC ameripoti kuwa baada ya kutolewa maamuzi hayo Bw. Zigiranyirazo alionekana kutoamini kilichotokea huku akipongeza kuhusu uamuzi huo.

"Mungu mkubwa na haki imetendeka, nimefurahi sana," aliiambia BBC.

Ndege iliyokuwa imembeba Rais Habyarimana ilitunguliwa April 6 mwaka 1994, hali ambayo ilisababisha kulipuka mapigano ya siku 100 ambayo yalisababisha vifo vya watu wanaokadiliwa kufikia 800,000 kutoka makabila ya Wahutu na Watutsi.

Katika mapigano hayo, Bw. Zigiranyirazo alikuwa akishutumiwa kuongoza kundi ambalo liliwashambulia Watutsi ambao walikuwa wakitafuta hifadhi milimani siku chache baada ya mauaji hayo kuanza.

Shirika la habari la Uingereza AP limeripoti kuwa hata hivyo jana Jaji Theodor Meron alisema kuwa katika maamuzi hayo kulikuwa na makosa mengi katika uwasilishaji vielelezo.

Baada ya hukumu hiyo Bw. Zigiranyirazo aliiambia BBC kuwa atahitaji kulipwa fidia katika kipindi cha miaka nane na nusu ambayo alikuwa amekwishatumia akiwa kifungoni.

Kwa upande wa Serikali ya Rwanda, Waziri wa Sheria aliiambia BBC kuwa Serikali haikufurahishwa na uamuzi huo lakini akasema kuwa haina uwezo kutengua maamuzi hayo.(BBC)

WANAWAKE WA KITANZANIA NA MAJUKUMU MAZITO


Kama kuna kiumbe mwenye majukumu mazito basi ni mwanamke wa Kitanzania au Africa Kwa ujumla hususani vijinini,mwanamke wa kitanzania anatembea umbali mrefu kufuata maji akiwa amebeba mtoto mgongoni,kuuza biashara ndogo ndogo,pia huduma za kijamii zipo mbali mfano hospitali wanapokuwa wajawazito wengine huzalia njiani kutokana na ukosefu wa usafiri.Serikali itupia macho kwa wanawake waiishio vijijini kwa kuwapelekea huduma mbalimbali za kijamii.

BEYONCE AND JAY-Z


Beyonce na hubby wake return back to their London Hotel, baada ya kuhudhuria Party iliyoandaliwa na Rihanna at Mahiki nightclub.

Saturday, 14 November 2009

JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KULAWITI

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imemhukumu mfanyabiashara Bw. Mohamed Yusuph (27), mkazi wa Kariakoo kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka 11.
Kabla ya hukumu hiyo kutolewa, mahakama iliamuru mshitakiwa huyo kufungwa kifungo cha maisha kutokana na uzito wa kosa lakini baada ya mshitakiwa kuomba apunguziwe adhabu kutokana na matatizo ya kiafya iliamuru aende jela miaka 30.

Mwendesha Mashitaka Mkaguzi wa Polisi, Bw. Musa Gumbo alimtaka Hakimu kutoa adhabu kali kwa mshitakiwa ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo.

Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa mahakama hiyo Bi. Janeth Kinyage alisema ametoa hukumu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka ambao unamtia hatiani mshitakiwa.

Awali ilidaiwa kuwa Februari 21 mwaka jana, maeneo ya Feri mshitakiwa alimalawiti mtoto wa miaka 11 na kumsababishia maumivu makali.

Thursday, 12 November 2009

NAOMI CAMPBELL NDANI YA BONGO DAR ES SALAAM


Mwanamitindo maarufu Duniani Naomi Campbell yupo Tanzania kwa ajili ya Charity Project, ambayo imeandaliwa na First Lady wa UK Sarah Brown kwa ajili ya Kuchangisha mfuko wa kusaidia watoto Yatima.Usiku wa leo atapanda Jukwaani na kuonyesha mitindo katika Hotel ya Movenipick.Kiingilio kitakuwa 200USD.

FAT PEOPLE NOW IS ILLIGAL IN JAPAN.


Unene ni marufuku Japan,Serikali ya Japan imetangaza kuwa unene ni kosa la jinai na mtu yeyote haruhusiwi kunenepa ovyo.Ili kufanikisha zoezi hilo Serikali ya Japan imetoa mikanda maalum amabayo ina vipimo maalumu,mtu yoyote hatatakiwa kunenepa kupita kipimo kilichowekwa.wanafanya hivyo ili kuepuka madhara yatokanayo na unene.
Mmmmmmmh hii nimeipenda.

Wednesday, 11 November 2009

ELIZABETH AREJEA NYUMBANI TANZANIA



Mwakilishi wa BIG BROTHER 4 kutoka Tanzania Elizabeth Gupta,amerejea nyumbani siku ya leo baada ya kutokuweza kufanikisha kuendelea kuishi katika jumba hilo.Hii ni kutokana na watanzania kutompigia kura za kutosha. Asiyekubali kushindwa si mshindani anyway you did your best girl and your warmly welcome home.

CELINE DION IS NO LONGER PREGNANT


unfortunate news for Celine Dion and her husband Rene Angelil,the singer is no longer preganant,a source close to the family tells intouch.'while she and Rene are actively trying for a baby,she is not currently expecting'the friend says.in August she confirmed her pregnancy, she used fertility treatment to expand her family but couldnt work out.Celine and Rene have 8 years son.

Monday, 9 November 2009

Sunday, 8 November 2009

THE PAINS OF BEING “ALIENS” IN INDIA

Hi,i got this from friend who is in India,and i decided to share this with you.

The incident which occurred in Mysore City, India, on 31st October 2009 leading to the arrest of one (1) Kenyan and nine (9) Tanzanian students has raised a lot of concern among foreign students, in particular Africans based in Mysore and other training colleges in India. Most of what has been said in the media is not true nor all of it is true, the truth lies somewhere in between. All in all the damage has been done, that cannot be changed at this late hour. As far as the truth is concerned on that morning, is yet to be determined by the Court of law in India.
In the meantime, we should realize that we have been ill treated and stigmatized by the surrounding community. This is based not only by this particular incident rather than numerous other incidences which have occurred in the past days, and all this is considered the “mistakes” made by those who studied in India or in other foreign lands in the last few years.
We have noted with deep concern that once a mishap occurs whereby an African and an Indian enter into loggerhead, immediately without making a comprehensive enquiry, it is promptly presumed that an African student is always at fault. It is true that some of the individuals, out of their own intuitions, breached the laws of the land occasionally, but we are certain that the majority of the students are law abiding despite of the prejudice that held by the Indians community that an “African” is always a guilty person and negligent who deserve severe penalties.
One of a typical negative image was concerned with one of the students involved in a road accident early last month whereas an “Indian” pedestrian died on the spot. Consequently, the headlines in the local newspapers read “a foreigner kills an Indian”. The interpretation of the public was held as an intentional murder scenario involving an Indian citizen. It is forgotten that road accidents do happen out of somebody willingness, whether you are of black or white racial origin.
Within the same time-frame, in another shameful incident one male and two female Tanzanians were beaten up by Indians in a public restaurant on the grounds that the Indians colleagues demanded to be served first before the “Negroes” who happened to have entered the designated restaurant earlier than their Indian origin customers. There is a strange notion that they deserve priority to be served due to their “Indian” origin and that they pay statutory taxes more than the “Africans” hence it was their right to be served first. Our comrades were brutally beaten and injured fortunately one of the Indians involved in the fracas happened to be a fellow student in the same class together with one of the Tanzanian victims.
To our astonishment, the lecturers kept begging us to exclude this particular Indian from the case as it would bring a bad reputation to her family simply because “she” has a descent background. They completely forgot the fact that another foreign student, from the same college, who had equal rights had to be suspended at the expense of an Indian girl who was worried more about her reputation. This particular incident was not published in any local newspapers despite of the complaint being filed at the Police nor did the Principal who is supposed to oversee the behaviors of students take a trouble of inquiring the facts of the matter.
The local community has been blaming our cultural values in anticipation that being in a foreign land we should adopt their local customs and discard our cherished norms and traditions. We wish to point out that being in the 21st century and taking the advantage of the globalization and improved infrastructure the world has become one big village and people from different parts of the world are coming together and interacting in various fields. In such occasions cultural clashes are bound to happen so if it is cultural adjustments and the “give and take” approach overrules the living standards hence the locals need to adjust accordingly.
The local inhabitants should be aware that there are foreigners around them and harmony need to be created between people of different cultural background accommodated through their Government machinery. If the Government of India did not want us being admitted in their reputable educational establishments we would have been denied the entrance visas. It is a matter of concern that in our home countries we live with fellow Indians without harassment or discrimination and embrace them in the spirit of humankind and development. We respect the notion of “majority rule” but we should not be forced to loose our individuality, dignity and throw away our customs and values at the expense of being in India and forget the “right to freedom” concept.
Being in compliance with acceptable law and orders as a universal principle however we are afraid that it is difficult to observe cultural malpractices which are offensive to the foreigners and always lead to breaking the laws of the land in context. All we are asking is for the right to live with human dignity and respect of developed mankind. It is worth reporting that up to this moment the Indian community still refers the Africans as “Negroes” despite of the world-wide rejection against the use of this particular terminology as it is obviously offensive and provocative. We are greatly disturbed in the events that juveniles call us “Negro” with a wide smile simply because they test our reactions while their elders are watching protectively. It is obvious that they are being taught by their elders and we consider this as a high level of ignorance, backwardness and racist among the majority of Indians.
We often see in the newspapers and televisions Indian from different parts of the world protesting about racism against them. From Shilpa Shetty’s incident in England few years back to the recent protests in Australia. For a country practicing the caste system of “un-touchability” you need not look so far to realize there is racism against your own citizens. It is obvious that the Indians are aware of the racist characteristics happening within their motherland.
Your attention should be drawn on the fact that back at our countries, we live with many people of Indians origin with ample opportunities in socio-cultural, business and Government environment. Fire crackers are not allowed in our country but with due respect to Indian culture, they are allowed to fired during the “Diwali!” ceremony and this reflect the respect we have for your culture and how far we are willing to make your fellow people are comfortable in our land.
I recall some months back being on a plane back home for my holidays and sitting next to an Indian woman carrying a very young girl. She addressed me in our local language “Kiswahili”, enquiring where I was originating. I told her I was a Tanzanian and she told me she was Kenyan and that she is so excited going back HOME to Kenya after giving birth to her beautiful three months old baby girl in India. This was only her second time in India in 35 years since she was born in Kenya. I was not surprised by all this because back at home many of them even get angry when you refer to them as Indians, they want to be called Tanzanians, proudly, with full of joy on their faces and hearts. You should see the look on their faces once we tell them that we are going to India for studies. They ask, “why India?” and we often wonder “could it be that bad?” Never have I heard of or read in the newspapers a racist act against an Indian back in our country. Last month I had entered in one of the bookstores here in Mysore, they do offer membership cards but unfortunately for me that day I was denied of one. When I asked the reason behind this, the clerk replied “we do not offer these cards to your kind.” I asked “when you say my kind, you mean foreigners?” He said “No, Africans!” God forbid, if this was how you are being treated back in our home countries.
To make matters worse, our guardians on this foreign land, the Tanzanian High Commission in New Delhi, is not putting efforts to our rescue and we feel there is a sense of apathy on whatever is happening to us. Based on the experience of Tanzanian citizens who visited and required assistance from the High Commission they ended up with mere disappointments. For the 4 years I have been here, I haven’t come across any Tanzanian who has spoken positively about our High Commission. It might sound odd, but it is the truth. I had to experience it first hand during these several months when I got the opportunity to be the Chairperson of Tanzanian Students Association in Mysore. I wish to point some incidences that indicate lack of support from our representative of the Government such as:-
(i) One of Tanzanian students was involved in an accident and injured a middle aged Indian woman. The Indian family demanded a huge sum of money as compensation. It was obvious that the exorbitant amount of money was demanded simply because the driver was a Tanzanian, a “Negro.” The driver and his parents back at home tried to seek assistance from the High Commission but nothing materialized up to this moment. It has been more than 2 years now, after extorting a lot of funds from us, the traffic case had to be taken to the court of law where it is still going on at a snails pace.
(ii) There is another student who had a problems with his Visa and needed to go back home, he was stranded here for 1 whole year but the High Commission responded as it always does “ we cannot help you on that.” So he had to seek assistance from the Indian High Commission in Dar Es Salaam that enabled him to leave India.
(iii) The other Tanzanian got an accident where unfortunately a pedestrian died instantly. He was later arrested and convicted. The High Commission was asked for assistance but it did not provide any, it responded with “what was he doing on the road at that time!” We engaged a lawyer and posted bail on our own without a helping hand from the High Commissioner.
(iv) The three Tanzanians who were beaten up by Indians in a restaurant, after the complaint was filed, we expected the High Commission to put pressure and fight for the rights of the victimized students but rather it responded with “what were they doing there in the first place? If they could have been inside their houses, none of this would have happened.”
With the most recent incident in hand, being Chairperson of Tanzanian students in Mysore, has been constantly being asked for a full report, as to what have we accomplished so far in helping our colleagues. For the sake of updating the interested stakeholders, we engaged a lawyer by ourselves and came up with the bail money of 50,000 Indian Rupees {nearly T. Shs 2 million} through our meager living contributions. It was essential to have the bail money immediately or else the 9 Tanzanians would have remained in custody till today. The Embassy responded that “the matter is already in the Court there is nothing much we can do. Just keep us informed with a written report!” We noted with a surprise through the media where the High Commission claimed that they have helped us and are closely working with the concerned students throughout this saga. We are deeply disappointed by such unhelpful common responses from our patrons, the High Commission in New Delhi, whom we feel are not showing adequate concerns that will safeguard and promote our studying and living environment without discrimination.
In 4 years, an official from the High Commission has visited Mysore only ONCE. And this could not have been possible if it was not for the son of the current Vice President of Tanzania who was studying here at the time. We usually hear from our neighbors in Bangalore that an official is has come from the High Commission for an event or just to come and check on things. We have sent invitations to the Commission several times for various events such as Graduations, but they always reply saying they are caught up with work hence can not make it here. This is not the case with Bangalore. Mysore and Bangalore is only 2 hours away but these people never make it to Mysore. It is alleged that this is so because most of the students in Bangalore are under Government sponsorship, does this mean others who are under private sponsorship need not be assisted in any way by the High Commission? A year ago, the son of one of the most top officials was studying in Bangalore, everyone here knows what kind of a character he was but yet the Commission made constant visits to Bangalore to clear up whatever mess he had made. But for the Tanzanians in Mysore, it takes only 1 incident to be blacklisted. If this is so, if the Commission is at the disposal of only the selected few, then it should be disclosed so that us, the sons and daughters of the common laymen, and of the farmers, should look for other means of assistance or other guardians who will look out for our interests.

As if it is not enough being discriminated by the local community, our own High Commission has not done adequate sensitization on the social-economic and cultural background of Tanzanian living in India. Due to the lack of assistance from the High Commission, Indians take advantage of us because they know there is no one near to help us since we are lonely and left our parents miles away back home and we feel being orphans. We have no choice than to keep aside our differences and look out for each other because we are all we have got in this foreign land, far way from home.
A friend of ours who once said “The only mistake we have made is for being BLACK” however we are consoled by the “change” being a motto that at last saw the American Black President on the wheel of a powerful nation in the world.

MWINGA B. MUNGWE
MYSORE



Mwinga Bernard Mungwe

Saturday, 7 November 2009

JAY-Z WANT TO GO TO THE MOON.


Jay -z has one big ambition he is yet to fulfill,he want to fly to the moon.The Grammy Award winning rapper has bult up a strong reputation as a bussnessman in the Music and Fashion Industries,but there is one life Goal he is yet to check off his list,and its truly out of this World.
When asked what he is got left to accomplish, he said *To Go to the moon*.

Friday, 6 November 2009

MALEZI YA WATOTO YAZINGATIE VIPAJI KUCHOCHEA MAENDELEO

Uwezo wa vijana wengi nchini Tanzania ni mdogo katika kukabiliana na changamoto za maisha na ushindani kutoka kwa vijana wa mataifa mengine Duniani.Ambapo akili zao zimedumazwa na malezi,elimu duni, pamoja na makuzi wanayopewa katika familia.Ongezeko la vijana wasiokuwa na ajira,matukio ya uhalifu,umasikini wa kipato na maendeleo duni katika taifa lenye rasilimali na hazina kubwa ya madini,linachangiwa na malezi yasiyothamini vipaji vya vijana husika.Wazazi wengi nchini wamekuwa na utamaduni wa kuwazuia watoto wao kuendeleza vipaji walivyonavyo, na kuwataka wawe warithi wa shuguli zao.Inashangaza kuona maisha ya vijana walio wengi ni duni wakati wanaishi katika nchi yenye utajiri wa kila aina kwa maana ya rasilimali,vitu kama madini, maziwa,mito,mbuga za wanyama,milima na ardhi yenye rutuba.Naamini wengi wetu tunajiuliza maswali mengi juu ya ufukara uliopo nchini,wakati Taifa lina rasilimali ambazo hazipatikani nchi nyingine yoyote Duniani.
Toauti ya maisha imezidi kuwa kubwa ambapo kundi la masikini ni vijana linaongezeka kwa kasi, vifo vya watoto,wanawake.Ongezeko la wangonjwa na huduma duni za kijamii zimeendelea kuwa za kudumu katika nchi.
Katika mazingira hayo wimbi la wageni kutoka mataifa mengine kwa kivuli cha uwekezaji wamezidi kuongezeka,na kuchuma matunda ya nchi kwa kutumia mianya iliyopo kwa manufaa ya nchi zao,wakati wazawa wakiangalia bila kujua wafanye nini,zaidi ya kumuomba Mungu ili aweze kuwaokoa.

Thursday, 5 November 2009

MARLAW


Brand new single from Marlaw, goes by the name of BIDII.if your a fans of Marlaw pliz just go to youtube and listern the Audio, you gonna love it. Ni wimbo mzuri kiukweli na ujumbe ndani yake.

RIHANNA GLAMOUR DECEMBER 2009



She looks beautful!known mostly for her iconic style and orginal sound,Rihanna got the title of the Woman of The Year.Now Rihanna opens up for the fashion magazine GLAMOUR US,for the month December 2009.

Wednesday, 4 November 2009

ELIZABETH WA BIG BROTHER YUPO PABAYA TENA


,Mshiriki wa big brother Africa Elibeth Gupta amechaguliwa kutolewa,na uwezekano wa yeye kubaki ni mdogo sana,hivyo wa waTanzania mnaombwa kumpigia kura za kutosha ili aweze kubaki katika jumba hilo.

WAUAJI WA ALBINO WAHUKUMIWA KIFO.

Watu watatu wamehukumiwa kifo,baada ya kumuua Albino mkoani shinyanga.lakini kabla ya kunyongwa watatakiwa kuwataja wenzao wengine,Ambapo tetesi zinasema wengi wao ni watu wenye fedha na Majina makubwa nchini,hatua hii itasaidia kubaini mtandao huo.
Uamuzi wa mahakama umepongezwa na wananchi walio wengi.
Binafsi nimeurahishwa na uamuzi huo,licha ya kuwa katika dunia hii hakuna binadamu mwenye kibali cha kumuua binadamu mwenzie.

"Mafisadi nao wanyongwe jamani"

Monday, 2 November 2009

ROSE MHANDO APATA AJALI.


Muimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla Rose Mhando,amepata ajali mbaya usiku wa kuamkia leo,baada ya gari yake aina ya prado kupinduka mara tatu kiasi cha kutokutamanika kabisa.rose amepata ajali hiyo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.Amepata ajali hiyo akiwa na wanakwaya wenzie,walikuwa wakitokea kwenye mkutano wa injili uliofanyika wilaya ya kiteto mkoani manyara.hata hivyo Rose pamoja na wenzie wametoka salama.blog ya Strive for life inawapa pole sana.

MARIAH CAREY IS A SEXY ANGEL


Mariah Carey dressed up as a sexy Angel!Mariah with her Husband comedian Nick cannon in matching Angel costumes for their halloween party in New York.
I love it, real cute.

Sunday, 1 November 2009

WALIMU KUGOMA TENA NCHI NZIMA

Chama cha walimu Tanzania (CWT)Kimetangaza mgomo wa walimu nchi nzima kuanzia novemba 7mwaka huu 2009,kutokana na kutolipwa kikamilifu madeni yao wanayoidai serikali.Walimu wanadai madeni mengi ikiwa ni pamoja na fedha za malimbikizo ya mishahara,uhamisho, likizo,malipo ya kwenda masomoni na mengineyo.

mgomo huo utahusisha walimu wote wa shule za msingi sekondari,vyuo vya ualimu na wakaguzi wa shule.pamoja na hayo walimu watatakiwa kwenda mashuleni kama kawaida ila hawataingia darasani, badala yake watakaa maofisini na kujadili hatima ya malipo yao.Huu utakuwa ni mgomo mwingine ukiacha ule wa novemba mwaka jana,uliozimwa na mahakama kuu divisheni ya kazi novemba 17,ambapo walimu walidai jumala ya bilioni 50.

Inashangaza kuona wabunge wakipokea posho mara mbili mbali na mishahara yao,huku serikali ikisahau madeni ya walimu hii inaonyesha serikali haiwajali waliamu kabisaaaaaa,
Alafu tunategemea walimu hao hao watoe wataalamu.